DC MTWARA AWASISITIZA WAKULIMA KUZINGATIA UBORA WA KOROSHO.
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewasisitiza wakulima wa Korosho kujitahidi kuzingatia ushauri unaotolwa na wataalam kuhusu namna ya kutunza Koroshi…
MNADA WA NNE MAMCU, BEI YA JUU SHILINGI 2,000/=
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wakulima wa zao la Korosho katika Kijiji cha Mkahala Halmashauri ya Nanyamba mkoani Mtwara, wameuza kiasi cha zaidi ya Tani Elfu 6.5…
TANZANIA NA ZAMBIA ZASAINI MAKUBALIANO KUONDOA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA
MWANDISHI WETU, NAKONDE mtwarapressclub@gmail.com Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wa Tanzania Dkt. Hashil Abdallah na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda…
CHANGAMOTO ZA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA KUTATULIWA
MWANDISHI WETU, NAKONDE mtwarapressclub@gmail.com Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba 30, 2023, ili kuiwezesha sekta binafsi kufanya biashara bila vikwazo…
BODI YA TASAC YAUNGA MKONO UJENZI WA BANDARI MPYA MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania – TASAC, wameunga mkono juhudi za kuongeza ufanisi katika Bandari ya Mtwara,…
MADIWANI, WATENDAJI TOENI ELIMU AFYA YA UZAZI-DC MUNKUNDA
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewataka Madiwani na Watendaji wa Sekta ya Afya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, kutoa elimu…
MABASI MADOGO YAREJEA STENDI YA ZAMANI MTWARA
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mabasi ya abiria yanayofanya safari ndani ya wilaya ya Mtwara na maeneo jirani, yamerejea rasmi stendi ya Zamani ndani ya Manispaa ya…
DC MASASI AWASHAURI WAKULIMA WA KOROSHO KUTOJISAHAU BAADA YA KUPATA MALIPO
BRYSON MSHANA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Laurent John kanoni, amewashauri wakulima kuzingatia kununua mahitaji ya muhimu wakati huu ambao wameanza kupata…
MNADA WA TATU MAMCU, BEI YAFIKIA SHILINGI 2,135/=
BRYSON MSHANA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Wakulima wa zao la Korosho Wilayani Masasi mkoani Mtwara, wameuza Jumla ya Tani Elfu 9.4 za Korosho kwenye Mnada wa tatu uliosimamiwa…









