Michezo na Burudani
KOROSHO MARATHON MSIMU WA NNE KUFANYIKA NOVEMBA 29, 2025
BRYSON MSHANA, MTWARA Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), imetangaza rasmi ratiba ya Korosho Marathon msimu wa nne, ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika tarehe 29 Novemba 2025 na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari leo tarehe 10 Octoba 2025 na Mkurugenzi Mkuu…
Read More »UMITASHUMTA & UMISSETA INA FAIDA KUBWA KWA WANAFUNZI
MWANDISHI WETU Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania UMITASHUMTA na yale ya Shule za Sekondari UMISSETA kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kufanyika Mkoani Iringa kuanzia Juni 7,2025. Mashindano hayo yatajumuisha wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, yakihusisha…
Read More »UMITASHUMTA & UMISSETA 2025 KUFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA
BRYSON MSHANA Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania UMITASHUMTA na yale ya Shule za Sekondari UMISSETA kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kufanyika Mkoani Iringa kuanzia Juni 7,2025. Mashindano hayo yatajumuisha wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, yakihusisha…
Read More »SAOHILL MISITU SPORTS BONANZA YAFIKIA TAMATI MUFINDI
MWANDISHI WETU, IRINGA mtwarapressclub@gmail.com Misitu Sports Bonanza kwa msimu wa 9, kwa Mwaka 2023,imefikia tamati Desember 16,2023 katika Viwanja vya Makao Makuu ya Shamba la Miti Saohill Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa,huku Timu ya Saohill Misitu ikiibuka na Ushindi baada ya kuichapa Timu ya Mgololo Misitu mikwaju ya penati 4-…
Read More »TASWA YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
MWADISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclu@gmail.com Umoja wa Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) wametoa misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe yaliyotokea mlima Hanang’ Mkoani Manyara Disemba 3, 2023. shughuli hii ya kukabidhi msaada imefanyika Jijini Dar es Salaam katika uwanja wa…
Read More »TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA TAREHE 25 AGUSTI2023
KWA HISANI YA BBC mtwarapressclub@gmail.com Klabu ya Crystal Palace ya nchinbi Uingereza, wanapanga kujariu kumsajili mchezaji huru wa Ubelgiji Eden Hazard kwa kumpa mshambuliaji huyo wa zamani wa Chelsea na Real Madrid mweye umri wa miaka 32, mkataba wa mwaka mmoja huko Selhurst Park licha ya majeraha yake. (Football TransferS)…
Read More »Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 07.07.2023
Manchester United wanakaribia kumsajili kipa wa Inter Andre Onana, 27, baada ya kuafikiana na mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon. (Fabrizio Romano), huku The Red Devils pia wakipanga kumnunua mshambuliaji wa Atalanta na Denmark Rasmus Hojlund, 20 kwa pauni milioni 50. (Telegraph). Chelsea italazimika kulipa zaidi ya pauni milioni 100…
Read More »SDA YAGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE 56 NCHINI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkurugenzi wa Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwl. Vicent Kayombo akigawa vifaa kwaajili ya kufundishia somo la michezo kwenye shule 56 za Sekondari vilivyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la sports Development Aid (SDA). Vifaa hivyo vilivyotolewa na SDA ni pamoja na mipira 504,…
Read More »GEITA BINGWA UMISSETA 2023 SOKA WAVULANA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya mpira wa Miguu Wavulana ya Mkoa wa Geita, imeibuka Bingwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) yanayofanyika Mkoani Tabora. Geita wamewafunga Mabingwa watetezi Mkoa wa Mbeya kwenye mchezo mkali wa fainali uliochezwa katika Uwanja mpya wa Shule…
Read More »ARUSHA BINGWA UMISSETA KIKAPU WASICHANA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya mpira wa Kikapu Wasichana ya Mkoa wa Arusha, imeibuka Bingwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) yanayofanyika Mkoani Tabora, baada ya kuwafunga majirani zao Kilimanjaro kwenye mchezo wa Fainali. Fainali hiyo ya kuvutia ilichezwa Saa 9 Alasiri…
Read More »








