Misitu, Uhifadhi na Utalii
WAZIRI KAIRUKI AWATUNUKU VYETI WAPANDA MLIMA 228
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amewatunuku vyeti wapanda mlima Kilimanjaro 228 walioshiriki kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023. Hafla ya mapokezi ya wapanda mlima,waliopanda kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika na…
Read More »TASAC NA MKAKATI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA BAHARINI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Dunia inakabiliwa na mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi wa mazingira ambayo tayari yameanza kuleta athari hasi kwa binadamu, wanyama na viumbe hai waishio majini ikiwemo Samaki katika maeneo mbalimbali ulimwenguni. Lengo namba 14 la Malengo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs) linazungumzia Maisha ya viumbe…
Read More »CHEMCHEM FOUNDATION KUGAWA BAISKELI KWA WENYE ULEMAVU BABATI
MWANDISHI WETU, BABATI mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Utalii ya chemchem iliyoko wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, imeanza kugawa Baiskeli bure kwa Watu wenye ulemavu wa miguu zaidi ya 300 mkoani Manyara ili ziwasaidie kufanya shughuli za kiuchumi. Baiskeli hizo, zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 45 zimetolewa na Taasisi ya…
Read More »VIJANA WATAKIWA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Jafo amewataka vijana kutoka sehemu mbalimbali duniani kuinua sauti na kuelezea wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la hasara na uharibifu unaohusiana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amewataka vijana kuwa mabalozi wa kampeni…
Read More »TAWA YAKABIDHIWA MASHAMBA YA WANYAMAPORI ARUSHA
MWANDISHI WETU, ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Wanyamapori ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kutoka kwa Msajili wa Hazina na kwenda kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za…
Read More »PANDENI MITI KUTUNZA MAZINGIRA
ALEX SONNA,DODOMA mtwarapressclub@gmail.com MWENYEKITI wa Bodi ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mwantumu Mahiza,amezitaka taasisi mbalimbali nchini kuhakikisha zinatunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mahiza ametoa maelekezo hayo leo Oktoba 3,2023 jwakati wa zoezi la upandaji miti liliofanyika Shule ya Sekondari Ilazo Extension jijini Dodoma. Amesema jamii inatakiwa kuhamasika…
Read More »KUNDI LA 19 LA WANANCHI WANAOHAMA NGORONGORO LAONDOKA.
MWADISHI WETU, GORONGORO mAtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa leo tarehe 24 Agosti, 2023 amewaaga rasmi wananchi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni awamu ya pili ya waliojiandikisha kuhama kwa hiari kwenda maoneo mbalimbali nje ya Hifadhi. Kundi hilo la Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro…
Read More »UTUNZAJI WA RASILIMALI ZA MISITU UTASAIDIA KULINDA WANYAMAPORI NA MAZINGIRA
BRYSON MSHANA, LINDI 0787 569 833 Agusti 04, 2023 Wizara ya Mali Asili na Utalii ya Tanzania iliandaa siku ya utalii, uhifadhi na utunzaji wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maonesho ya wakulima Nanenane Kanda ya Kusini katika viwanja vya Ngondo Manispaa ya Lindi Mkoani Lindi. Siku hii ilikuwa na…
Read More »RC ABBAS – MTWARA NI SALAMA KWA UWEKEZAJI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmedi Abbas, amewakaribisha wawekezaji mbalimbali kuwekeza mkoani humo kutokana na kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji. Kanali Abbas amesema hayo August 5, 2023 wakati aliposhiriki katika tukio la kitalii lililohusisha uzinduzi wa msimu wa utalii wa Nyangumi katika eneo la Bahari…
Read More »WANANCHI WATAKIWA KUACHA KUJENGA KARIBU NA HIFADHI ZA WANYAMAPORI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imewataka wananchi kuacha tabia ya kujenga makazi au kufanya shughuli za kibinadamu karibu na hifadhi za wanyamapori ili kujiepusha na hatari za wanyama wakali. Kauli hiyo imetolewa na Mhifadhi Mkuu anayesimamia Kitengo cha Dawati la Ujirani Mwema kutoka TAWA…
Read More »









