Misitu, Uhifadhi na Utalii
WANAOTAKA KUANZISHA MAKUMBUSHO BINAFSI RUKSA
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapress@gmail.com Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi yake ya Makumbusho ya Taifa, imejipanga vyema katika Uhifadhi wa Makumbusho na Malikale Ili rasilimali hizo adhimu za Kihistoria ziweze kuinufaisha jamii ya Sasa na vizazi vijacho. Hayo yamese na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa la…
Read More »TFS RONDO YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
TFS – KANDA YA KUSINI mtwarapressclub@gmail.com Wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS kupitia Hifadhi ya Shamba la Miti Rondo Halmashauri ya Wilaya ya Mtama mkoani Lindi, wamesherehekea siku ya Mazingira Duniani kwa kupanda miti 100 aina ya Misindano, pamoja na kugawa Vifaa vya michezo kwa Vijiji vinavyozunguka hifadhi hiyo.…
Read More »TAWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE WAJADILI USIMAMIZI WA PORI LA AKIBA KILOMBERO
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mei 08, 2023 jijini Dodoma imefanya semina na Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma juu ya Usimamizi wa Pori la Akiba Kilombero Semina hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Bunge, Jengo dogo la utawala Chumba…
Read More »WAHIFADHI KUTOKA KENYA NA TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO
Kassim Nyaki, NCAA mtwarapressclu@gmail.com Wajumbe 26 wa taasisi za Uhifadhi kutoka Kenya na Tanzania walioshiriki kikao cha ulinzi wa wanyamapori (Kenya- Tanzania Cross Border Wildlife Security meeting) kilichofanyika jijini Arusha wametembelea Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali za uhifadhi, utalii na ulinzi wa rasilimali za…
Read More »WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KUIMARISHA UHIFADHI ENDELEVU
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi ya Wananchi waliotuhumiwa kuingia ndani ya hifadhi na watakaobainika wachukuliwe hatua stahiki. Ametoa agizo hilo Aprili 27, 2023 Bungeni Jijini Dodoma wakati akitoa maelezo kuhusu changamoto…
Read More »WAZIRI MCHENGERWA ATETA NA WAHIFADHI – TANAPA
MWANDISHI WETU, ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mohamed Mchengerwa Aprili 16, 2023 ametembelea makao makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), jijini Arusha lengo likiwa ni kujionea utekelezaji wa shughuli za Uhifadhi na Utalii. Katika ziara hiyo aliongozana na Katibu mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt…
Read More »WAZIRI MCHENGERWA : HAKUNA MUDA WA NYONGEZA MIRADI YA REGROW
MWANDISHI WETU, ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa hakutakuwepo na muda wa nyongeza katika utekelezaji wa miradi nane ya REGROW yenye thamani ya sh, bilioni 157.2. Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba nane ya ujenzi wa majengo ya utalii,ujenzi wa viwanja vya ndege…
Read More »DKT. MPANGO AWATAKA WATANZANIA KUACHA KUTUPA TAKA HOVYO
OFISI YA MAKAMU WA RAIS, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa watanzania kuacha tabia ya kutupa taka ovyo katika maeneo mbalimbali wanayotumia hususani barabarani. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwasalimu waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro…
Read More »MAKUMBUSHO YA TAIFA YAPONGEZWA KWA UHIFADHI WA MALIKALE LINDI
MWANDISHI WETU, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania imepongezwa kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuimarisha uhifadhi wa malikale katika Mkoa wa Lindi. Pongezi hizo zimetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Bw. Abdallah Shaib Kaim mjini Lindi wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi…
Read More »DART KUSHIRIKI KAMPENI YA UPANDAJI #MitiMilioni YA BENKI YA NMB
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Mwendokasi) – DART wameungana na Benki ya NMB kupitia kampeni yao inayozidi kushika kasi ya Upandaji Miti Milioni kwa mwaka 2023, kwa kupanda miti 1,000 aina ya ‘Jacaranda’ katika ushoroba wa Bus Rapid Transit (Mwendokasi) Zoezi hilo…
Read More »









