Misitu, Uhifadhi na Utalii
JAJI WARIOBA AZINDUA MASHINE YA KISASA YA KUCHAKATA MAZAO YA MISITU
MWANDISHI WETU, ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Jaji Joseph Sinde Warioba amezindua rasmi mashine ya kisasa ya kuchakata mazao ya misitu ijulikanayo kama Slidetec Sawmill 2020 yenye thamani ya shs 200 milioni. Uzinduzi huo umefanyika Machi 28, 2023 katika kampasi ya msitu wa mafunzo Olmotonyi…
Read More »MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA NMB NA TFS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizindua rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma tarehe 27 Machi 2023. Makamu wa Rais wa…
Read More »BODI YA USHAURI TFS YATEMBELEA HIFADHI YA MAZINGIRA ASILIA AMANI
MWANDISHI WETU, TANGA mtwarapressclub@gmail.com BODI ya Ushauri ya Wizara kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wametembelea Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani iliyopo Muheza mkoani Tanga, kukagua uboreshaji wa miundombinu na huduma za kiutalii katika eneo hilo. Bodi hiyo imeonesha kuridhishwa na hatua iliyofikiwa pamoja na uwekezaji uliofanyika, ikiwa…
Read More »WAZIRI MABULA ATAKA UPANDAJI MITI KWA WANAOMILILISHWA ARDHI
MUNIR SHEMWETA, WANMM HANDENI mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wananchi waliokabidhiwa hati milki za ardhi wilayani Handeni mkoani Tanga kuhakikisha wanapanda miti kwenye maeneo yao ikiwa ni moja ya sharti lililopo katika hati ya ardhi. Dkt Mabula ametoa kauli hiyo tarehe 22…
Read More »TUMEJIPANGA KUITANGAZA TANZANIA KIMATAIFA-MCHENGERWA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) akizungumza na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb) amesema Wizara yake imejipanga kuitangaza Tanzania duniani kwa kutumia mikakati mbalimbali ikiwa ni pamoja na timu…
Read More »VYOMBO VYA DOLA NA WANASHERIA KUSHIRIKIANA KUTOKOMEZA UJANGILI BABATI
MWANDISHI WETU, BABATI mtwarapressclub@gmail.com Ongezeko la matukio ya ujangili wa Twiga na uvamizi katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge sasa litaanza kushughulikiwa kwa mbinu mpya kwa ushirikiano wa vyombo vya Dola,Wanasheria na Askari wa Burunge WMA. Matukio ya ujangili wa Twiga,ukataji miti na uvamizi maeneo yaliyohifadhiwa…
Read More »CHINA YAIPA TANZANIA DOLA MILIONI MOJA KUKUZA UTALII
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO www.mtwarapressblog.co.tz Serikali ya China na Tanzania zimetiliana saini mkataba wa Dola za kimarekani milioni moja kusaidia shughuli mbalimbali za kuendeleza Utalii kwenye Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Mkataba huo umesainiwa Machi 16, 2023 kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro yaliyofanyika kwenye Ofisi…
Read More »SERIKALI YATOA BILIONI 2.2 KUBORESHA MAKUMBUSHO ZA TAIFA
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali kupitia Mpango wa Fedha za Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19, imetoa jumla ya shilingi Bilioni 2.2 kwa ajili ya kuboresha na kukarabati maeneo mbalimbali ya kihistoria ikiwamo Makumbusho za Taifa na malikale kwa lengo la kuendelea kuvutia watalii …
Read More »KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII ZIARANI NGORONGORO
MWANDISHI WETU, NGORONGORO www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na teknolojia ya tabaka gumu la mawe iliyotumika katika ujenzi wa Barabara ya Seneto hadi Kreta katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii,…
Read More »TPA YAPONGEZWA HUDUMA BORA BANDARI YA KILWA
MWANDISHI WETU, KILWA www.mtwarapressblog.co.tz Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imepongezwa kwa Huduma bora zinazotolewa na Bandari ya Kilwa Masoko Pongezi hizo zimetolewa na Wadau mbalimbali wa Sekta ya Uchukuzi walioshuhudia Safari za Meli za Kitalii zilizotia nanga katika Bandari hiyo zikiwa na Idadi kubwa ya Watalii kutoka…
Read More »









