Afya
RAIS DKT.SAMIA ALIVYOIMARISHA HUDUMA KATIKA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA MISHIPA YA FAMAMU MUHIMBILI (MOI)
MWANDISHI WETU, DODOMA Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan imewezesha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Famamu Muhimbili (MOI) kutoa huduma bora za ubingwa bobezi kwa ununuzi wa vifaa vya kisasa ikiwemo CT SCAN mbili, MRI,…
Read More »WANANCHI MTWARA WATAKA SERIKALI ISOGEZE HUDUMA ZA AFYA KARIBU NA JAMII
BASHIRU MOHAMED, MTWARA Wakazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamepongeza kampeni ya KITAA KIMEITIKA-TB INATIBIKA-CHUKUA HATUA kupitia Kliniki Tembezi inayotoa huduma za uchunguzi wa ugonjwa wa Kifua Kikuu ambayo inafanyika bila malipo. Zaidi ya wananchi 200 wamejitokeza,mkoani Mtwara kuja kufanya uchunguzi wa ugonjwa wa Kifua Kikuu, zoezi ambalo…
Read More »WANANCHI MTWARA WAENDELEA KUJITOLEA UJENZI WA KITUO CHA AFYA
HUSNA HASSANA, MTWARA Wakazi wa Kata ya Chuno ,Shangani pamoja na watumishi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wamekusanyika Zahanati ya Chuno kwaajili ya kumwaga zege kwenye jengo la wagonjwa wa nje (OPD) na jengo la Wodi ya kina mama na upasuaji (Combined Maternity Ward and Theater) ikiwa ni Mradi wa…
Read More »NAMTUMBO YANG’AA KWENYE SEKTA YA AFYA – MAFANIKIO CHINI YA MHE. VITA KAWAWA (2020–2025)
LUCY MWALONGO, NAMTUMBO Katika kipindi cha miaka mitano ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, Jimbo la Namtumbo limepiga hatua kubwa na ya kuigwa katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Mafanikio haya yamesimamiwa kwa ukaribu na Mbunge wa jimbo hilo, Mhe. Vita…
Read More »TUNAWEZA KUZUIA ASILIMIA 80 YA VIFO NCHINI TUKIBADILI MTINDO WA MAISHA-DKT.BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi ya mara kwa mara. Amesema hayo tarehe…
Read More »WANACHI MSIMBATI WAMSHUKURU DKT.BITEKO KUKAMILIKA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KITAKACHOHUDUMIA ZAIDI YA WATU 12,000
BRYSON MSHANA, MTWARA Wananchi katika Kata ya Msimbati Halamashauri ya Mtwara Mkoani Mtwara, wameishukuru na kuipongeza serikali kupitia kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko kufuatia kukamilika kwa ujenzi na kufunguliwa kwa Kituo cha Afya Msimbati, huku zaidi ya watu 12,000n wakitarajiwa kunufaika na kituo hicho. Wakizungumza…
Read More »MRADI WA EPIC WAWAJENGEA UWEZO WABUNGE
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imejengewa uwezo kuhusu Mpango wa DREAMS unaotekelezwa na Mradi wa EPIC ambapo mpango huo unalenga katika kupunguza kiwango cha maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana balehe na wanawake vijana. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango…
Read More »SERIKALI INATHAMINI JUHUDI ZA TAASISI ZA KIDINI KUPELEKA HUDUMA KWA WANANCHI- DKT. BITEKO
MWANDISHI WETU, GEITA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali inathamini na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Sekta za kidini katika kusogeza huduma mbalimbali kwa wananchi mjini na vijijini. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Januari 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya San Pio iliyopo…
Read More »PROGRAMU YA PJT-MMMAM ITAKAVYOONGEZA UWEKEZAJI WA MALEZI NA MAKUZI YA WATOTO (0-8)
HADIJA OMARY, DODOMA mtwarapressclu@gmail.com Nchini Tanzania asilimia 45 ya watoto wapo kwenye hatari ya kutofikia hatua timilifu za ukuaji kutokana na viashiria mbali mbali vya hatari vya maendeleo kama vile utapiamlo, umasikini, kukosa uhakika wa chakula , msongo wa mawazo ya kifamilia. Kufuati hali hii Serikali imeona umuhimu kuendelea kuwekeza …
Read More »MUHIMBILI YAPELEKA MSAADA WA MSAIKOLOJIA TIBA, DAWA NA VIFAA TIBA HANANG’
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameipongeza uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kupeleka msaada wa dawa, vifaa tiba pamoja Msaikolojia Tiba kwa wananchi wa Mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang, Mkoani Manyara ili…
Read More »









