Siasa
DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA MIKOA YA KUSINI, LNG KUKAMILIKA LINDI
BRYSON MSHANA, LINDI Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilika kwa mradi mkubwa wa uchakataji na usindikaji wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) mkoani Lindi, mradi ambao umesimama kwa zaidi ya miaka 12. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Lindi Mjini,…
Read More »MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO
MWANDISHI WETU, GEITA Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita leo Septemba 2, 2025 kimezindua kwa kishindo kampeni za kuinadi Ilani ya CCM 2025-2030 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ambapo imeelezwa kuwa mpaka sasa tayari Majimbo 7 kati ya 9 ya Ubunge yamepita bila kupingwa huku kata 92 kati ya…
Read More »JOEL NANAUKA AONGOZA KURA ZA MAONI JIMBO LA MTWARA MJINI
BRYSON MSHANA, MTWARA Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mtwara Mjini, kimetangaza matokeo ya nafasi ya Ubunge Jimbo la Mtwara Mjini, kufuatia kura za maoni zilizopigwa tarehe 4 Agusti 2025. Akitangaza matokeo hayo leo Agusti 05,2025 katika Ofisi cha Chama hicho, Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara Mjini Fadhili Urami Ukasha,…
Read More »DKT. BITEKO AOMBA KURA YA NDIYO KWA WAJUMBE BUKOMBE
MWANDISHI WETU, BUKOMBE Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya kutetea kiti hicho, ameeleza furaha na shukrani aliyonayo kwa Wananchi wa Bukombe kufuatia ushirikiano waliompa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. @biteko Dkt. Biteko amesema hayo Agosti 2, 2025 kwa…
Read More »WANARUFIJI LAZIMA WANUFAIKE NA UWEKEZAJI- MHE. MCHENGERWA
JOHN JAYROS,RUFIJI MTIA nia wa Ubunge jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa ameweka vipaumbele endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo huku akisisitiza uwekezaji mkubwa unaokuja katika jimbo hilo lazima uwanufaishe wananchi wa Rufiji. Akizungumza mbele ya wajumbe wa kata ya Ngarambe na Utete, Mhe. Mchengerwa amesema kutokana na kazi kubwa aliyofanya…
Read More »DEVOTA MBURARUGABA NA SAMILA AMOUR WANG’ARA UBUNGE VITI MAALUMU KAGERA
MWANDISHI WETU, KAGERA Devota Daniel Mburarugaba na Samila Khalfan Amour wameibuka washindi katika uchaguzi wa Wabunge Viti Maalumu Mkoa wa Kagera baada ya kushinda kwa kishindo kati ya wagombea nane waliokuwa wakipigiwa kura na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) mkoani humo. Katika matokeo hayo,…
Read More »VIONGOZI WA HALMASHAURI WASIOKAMILISHA MIRADI KUCHUKULIWA HATUA
OR-TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, amewataka Viongozi wote wa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha miradi ya Afya na Elimu iliyopata fedha inakamilika ifikapo Disemba 31,2023. Mchengerwa ameyasema hayo kwenye hafla ya uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji…
Read More »USIKIVU WA RAIS DK. SAMIA UNALETA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI – KINANA
MWANDISHI WETU, KONDOA mtwarapressclub@gmail.com MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka miwili ya uongozi wake yanatokana na utulivu, usikivu, kupokea ushauri na kufanya uamuzi wa busara kwa manufaa ya Watanzania. Kinana ameyasema hayo…
Read More »CHONGOLO: KUNA WATU WAGOMBANISHI NA WACHONGANISHI
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amesema wapo watu wagombanishi na wachonganishi ambao kazi yao ni kuhamisha masuala ya msingi ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwenda kwa mtu na kufanya Rais aneonekane nafanya mambo binafsi. Chongolo amezungumza hayo leo Julai 16,…
Read More »WASIRA: SERIKALI AWAMU YA SITA HAICHANGISHI WAZAZI KUJENGA MADARASA
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )Taifa Steven Wasira, amesema serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inafanya mambo makubwa kwa muda mchache, ikiwa ni pamoja na kujenga Madarasa bure bila kuchangisha wazazi. Amezungumza hayo julai 16, 2023,…
Read More »









