Habari
WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE
MOSHI-KILIMANJARO Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE kwa kuanza kukarabati barabara ya Mabogini–Kahe ambayo kwa miaka mingi ilikuwa katika hali mbaya na imekuwa chanzo cha adha kubwa kwa wakazi wa eneo…
Read More »DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA ZAONEKANA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA
BRYSON MSHANA,MTWARA Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, mkoani Mtwara, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia. Utafiti huo unajumuisha jumla ya vijiji 48 katika eneo la takriban kilomita za mraba 736…
Read More »ZAIDI YA BILIONI 27 KUIPENDEZESHA MANISPAA YA MTWARA-MIKINDANI KUPITIA MRADI WA TACTIC
BRYSON MSHANA, MTWARA Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani Mtwara imesaini mkataba wa fedha zaidi ya shilingi bilioni 27 zinazolenga katika uboreshaji wa miundombinu ya mji kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) unaofadhiliwa na Serikali kuu kupitia mkopo wa Benki ya Dunia wenye thamani ya dola za…
Read More »SERIKALI ITAENDELEA KUTOA RUZUKU YA PEMBEJEO KWA WAKULIMA WA KOROSHO – DKT. NCHIMBI
BRYSON MSHANA, MTWARA Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameahidi kuwa serikali itaendelea kutoa ruzuku ya pembejeo bure kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kukuza kilimo na kuongeza kipato cha wakulim a vijijini.…
Read More »OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA MTWARA YAFANYA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA USHAURI WA KISHERIA
BRYSON MSHANA, MTWARA Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Mkoa wa Mtwara, imefanya kikao cha kwanza cha Kamati ya ushauri wa kisheria, chenye lengo la kupeana majukumu na namna ya utekelezaji wake ikiwa ni pamoja na ushauri na uangalizi katika utekelezaji wa huduma za ushauri wa kisheria na Elimu ya…
Read More »BALOZI WA URUSI AKUTANA NA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBISHARA
ABDUL LUKANGA, MTWARA Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Andrey Avetisyan, amefanya ziara rasmi ya kutembelea Bodi ya Korosho Tanzania mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi. Ziara hiyo imefanyika leo septemba 8/ ambapo ilimfikisha Balozi kwenye Kongani ya Viwanda inayoendelea…
Read More »MAAFISA MIPANGOMIJI WAFUNDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI
Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Katika kuboresha utendaji kazi na usimamizi wa masuala ya mipangomiji nchini Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia idara ya Maendeleo ya Makazi inaendesha kikao kazi kwa Maafisa Mipangomiji wa mikoa ili kujipanga kutekeleza majukumu yao kwa weledi. Kikao hicho cha siku tatu kinachofanyika…
Read More »DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KUWA MFANO WA MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WIZARA YA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka watumishi katika Wizara ya Nishati na Taasisi zilizochini ya wizara hiyo kuwa mfano katika matumizi ya Nishati Safi ya kupikia ili kuitekeleza kwa vitendo ajenda iliyoasisiswa na Rais, Dkt.…
Read More »DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KUWA MFANO WA MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WIZARA YA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka watumishi katika Wizara ya Nishati na Taasisi zilizochini ya wizara hiyo kuwa mfano katika matumizi ya Nishati Safi ya kupikia ili kuitekeleza kwa vitendo ajenda iliyoasisiswa na Rais, Dkt.…
Read More »UZALISHAJI WA NNISHATI JADIDIFU YA MAJI NA JUA NCHINI UMEFIKIA ASILIMIA 67.
MWANDSHI WETU, DAR ES SALAAM kamishna wa umeme na nishati jadidifu, mhandisi innocent luoga amesema uzalishaji wa nnishati jadidifu ya maji na jua nchini umefikia asilimia 67. Mhandisi Luoga ameyasema hayo tarehe 22 Agosti 2025 jijini Dar es Salaam wakati akifunga mafunzo ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali nchini yaliyohusu usanifu,…
Read More »









