Uchumi
CBT YAENDELEA NA MAANDALIZI YA MSIMU WA MAUZO YA KOROSHO GHAFI 2025/2026
BRYSON MSHANA, MTWARA Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeeleza kuwa maandalizi ya msimu mpya wa mauzo ya korosho ghafi wa mwaka 2025/2026 yanaendelea kwa vizuri, huku ikiahidi msimu wenye tija zaidi kwa wakulima na wadau wote wa tasnia hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliwasilishwa na Mkurugenzi wa Masoko…
Read More »BANDARI YA MTWARA YAONGEZA UFANISI KATIKA KUHUDUMIA SHEHENA YA KOROSHO
BRYSON MSHANA, MTWARA Bandari ya Mtwara imefanikiwa kuongeza kiwango cha ufanisi katika kuhudumia shehena ya korosho baada ya kufanikisha usafirishaji wa jumla ya tani 370,896 katika msimu wa 2024/2025, ikilinganishwa na tani 253,616.94 za msimu wa 2023/2024. Taarifa hiyo imetolewa tarehe 29 septemba 2025, na Meneja wa Bandari ya Mtwara…
Read More »BOT YATANGAZA KUANZISHWA KWA UTARATIBU WA USIMAMIZI BINAFSI KWA TAASISI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kushirikiana na Chama cha Taasisi za Huduma Ndogo za Fedha (TAMFI) pamoja na Umoja wa Taasisi za Huduma Ndogo za Fedha (TAMIU) imetangaza rasmi kuanza kwa utaratibu wa ushirikiano wa kimkakati unaolenga kuboresha nidhamu ya kujisimamia na mwenendo wa…
Read More »TPDC YAANZA ZOEZI LA KUKUSANYA TAARIFA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILI KITALU CHA MTWARA-LINDI
BRYSON MSHANA, MTWARA Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC ) limeanza kutekeleza zoezi la kuongeza uelewa kuhusu ukusanyaji wa taarifa za mitetemo katika kitalu cha utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili cha Lindi na Mtwara. Zoezi hilo limetambulishwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo Augusti…
Read More »TMX YAUZA KAKAO YENYE THAMANI YA BILIONI 3.7 KWENYE MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanikiwa kuuza kakao yenye thamani ya shilingi billioni 3.7 katika maonesho ya NaneNane Kitaifa yanayoendelea jijini Dodoma. Akitoa taarifa hiyo leo, Afisa Masoko wa TMX, Bi. Shanny Mringo, amesema kuwa jumla ya tani 255 za kakao zimeuzwa kupitia mfumo huo wa kidigitali kwa bei ya…
Read More »BENKI KUU YA TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WAANDISHI WA HABARI NCHINI
BRYSON MSHANA, MTWARA Benki Kuu ya Tanzania – BOT imesema itaendelea kushirikiana na waandishi wa habari wanaofanya kazi katika vyombo mbalimbali ya habari nchini, ili kuwajengea uwezo wa kuwaelimisha wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu biashara, uchumi na fedha. Mkurugenzi wa Benki Kuu Tawi la Mtwara Nassoro Omary, ameeleza hayo tarehe…
Read More »MAAGIZO YA RAIS DKT. SAMIA KUHUSU MATUMIZI YA MFUMO WA TMX YALIVYOCHANGIA UWAZI KWENYE MINADA YA MAZAO MSIMU 2024/2025
BRYSON MSHANA, MTWARA 0787 568 733 Msimu wa uuzaji na ununuzi wa mazao ya Biashara hapa nchini hatimaye umefikia mwishoni huku kukiwa na mafanikio makubwa kwa wakulima kutokana na bei za kuridhisha zilizofikiwa kupitia minada iliyofanyika katika maeneo mbalimbali. Minada ya msimu 2024/2025 iliratibiwa na kuendeshwa kwa usimamizi wa Soko…
Read More »MARUFUKU KUTOA MIKOPO BILA KUWA NA LESENI YA BENKI KUU YA TANZANIA
BENKI KUU YA TANZANIA – BOT Benki Kuu ya Tanzania imetoa tahadhari kwa taasisi, kampuni na watu binafsi wanaojihusisha na biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na leseni kutoka Benki Kuu ya Tanzania kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sharia. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na…
Read More »MKAZINGATIE VIPAUMBELE VYA TAIFA KATIKA MIPANGO NA BAJETI ZENU’ ENG. MATIVILA
OR-TAMISEMI, DODOMA Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amewataka Wataalamu wa Mipango na Bajeti kutoka kwenye Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia vipaumbele vya Taifa katika uandaaji wa mipango na bajeti zao. Mhandisi Mativila ameyasema hayo tarehe 16 disemba 2024,…
Read More »GRAMU 163,093.32 ZA MADINI YA VITO ZAUZWA KWENYE MNADA WA LWANZA MERERANI
BRYSON MSHANA, MANYARA Kiasi cha fesha za kitanzania Shilingi Milioni 647.142 kimepatikana kwenye mnada wa kwanza wa mauzo ya madini ya vito uliofanyika katika mji wa Mererani-Simanjiro Mkoa wa Manyara. Kiasi hicho cha fedha kimapatikana baada ya mauzo ya Gramu 163,093.32 zilizouzwa katika mnada huo ambao umeendeshwa na Soko la…
Read More »









