Uchumi
BENKI YA NMB KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
MWANDISHI WETU – DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Uongozi wa Benki ya NMB umeahidi kuendelea kuunga mkono shughuli za Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu katika kuhakikisha wanaimarisha uhusiano uliopo na kuendelea kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao ya kuratibu shughuli za Serikali. Hayo yameelezwa Februari 08, 2024 na Mkuu wa…
Read More »BARAZA LA MADIWANI MBINGA LAIDHINISHA RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025
Silvia Ernest,Mbinga mtwarapressclub@gmail.com Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limeridhia na kupitisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 wenye makadirio ya mapato na matumizi ya Tshs. 43,884,045,000. Rasimu hiyo imewasilishwa katika Kikao maalum cha baraza kupitia randama ya bajeti ya matumizi ya kawaida na…
Read More »MBUNGE MTWARA MJINI AFICHUA MANISPAA ILIVYOPITIA MSOTO WA MAPATO
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mbunge wa Mtwara Mjini Hassan Mtenga, amesema kwa takribani miaka Minne, ya ubunge wake, akaunti ya Manispaa ya Mtwara Mikindani haijawahi kuwa na pesa inayofikia shilingi Milioni 60. Mtenga amezungumza hayo Januari 01, 2024 katika mkutano wake na waandishi wa Habari, akielezea miradi mbalimbali ya maendeleo…
Read More »WANANCHI KYELA WATAKIWA KULIMA KAKAO KIBIASHARA
MWANDISHI WETU, MBEYA mtwarapressclub@gmail.com Wananchi wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wametakiwa kufanya kilimo biashara katika zao la kakao ili kuinua uchumi wao kutokana na bei ya zao hilo kuzidi kuongezeka. Ushauri huo umetolewa Desemba 18,2023, na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe wakati akiwa kwenye ziara ya…
Read More »MAMCU YAFANYA MNADA WA NANE WA KOROSHO MSIMU 2023/2024
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Chama kikuu cha Ushirika MAMCU LTD, kinachohudumia Wilaya za Nanyumbu, Masasi na Mtwara Disemba 8,2023 kimeendesha mnada wa Nane wa zao la korosho kikipeleka sokoni tani 1,300 na kuuza kwa bei kati ya shilingi 1,755/= na 1,300/=. Mnada huo umefanyika katika kata ya Mtawanya Manispaa ya…
Read More »MAMCU IMEUZA ZAIDI TANI ELFU 51 ZA KOROSHO MSIMU 2023/2024
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU Ltd kinachohudumia Wilaya za Nanyumbu, Masasi na Mtwara kimeuza zaidi ya Tani Elfu 50 za Korosho katika minada mitano ya awali huku kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi Bilioni 100 kikiwa kimeshalipwa kwa wakulima. Akisoma taarifa ya mwenendo wa minada katika…
Read More »MCHENGERWA APONGEZA JUHUDI ZA DKT. SAMIA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI WILAYANI RUFIJI
OR-TAMISEMI Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaaa Mohamed Mchengerwa, amesema Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa katika kuleta maendeleo na kufanya mapinduzi ya kiuchumi katika Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo Novemba 22,…
Read More »HUWEZI KUTENGANISHA JIJI LA DAR NA SOKO LA KARIAKOO’ MCHENGERWA
OR-TAMISEMI WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amesema ameridhishwa na ukarabati na ujenzi wa Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Ameyasema hayo Novemba 15,2023 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ukarabati wa Jengo la Soko Kuu…
Read More »MNADA WA NNE MAMCU, BEI YA JUU SHILINGI 2,000/=
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wakulima wa zao la Korosho katika Kijiji cha Mkahala Halmashauri ya Nanyamba mkoani Mtwara, wameuza kiasi cha zaidi ya Tani Elfu 6.5 za Korosho kwenye Mnada wa Nne uliosimamiwa na Chama Kikuu chu Ushirika MAMCU Ltd, Novemba 10, 2023. Katika mnada huo, jumla ya Kampuni 30…
Read More »TANZANIA NA ZAMBIA ZASAINI MAKUBALIANO KUONDOA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA
MWANDISHI WETU, NAKONDE mtwarapressclub@gmail.com Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wa Tanzania Dkt. Hashil Abdallah na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia Bi. Lillian Bwalya wamesaini nyaraka za makubaliano za kuondoa changamoto za kibiashara kati ya nchi hizo mbili. Makatibu Wakuu hao wamesaini nyaraka hizo…
Read More »









