Uchumi
CHANGAMOTO ZA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA KUTATULIWA
MWANDISHI WETU, NAKONDE mtwarapressclub@gmail.com Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba 30, 2023, ili kuiwezesha sekta binafsi kufanya biashara bila vikwazo vyovyote baina ya nchi hizo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Zambia…
Read More »DC MASASI AWASHAURI WAKULIMA WA KOROSHO KUTOJISAHAU BAADA YA KUPATA MALIPO
BRYSON MSHANA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Laurent John kanoni, amewashauri wakulima kuzingatia kununua mahitaji ya muhimu wakati huu ambao wameanza kupata malipo yatokanayo na Korosho wanazoendelea kuuza kwa wanunuzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ametoa ushauri huo Novemba Novemba 03, 2023, wakati akiwasilisha salaam za Serikali…
Read More »MNADA WA TATU MAMCU, BEI YAFIKIA SHILINGI 2,135/=
BRYSON MSHANA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Wakulima wa zao la Korosho Wilayani Masasi mkoani Mtwara, wameuza Jumla ya Tani Elfu 9.4 za Korosho kwenye Mnada wa tatu uliosimamiwa na Chama Kikuu chu Ushirika MAMCU Ltd, uliofanyika Novemba 03, 2023 katika Kijiji cha Mpindimbi Hamashauri ya Masasi. Katika mnada huo ambao Serikali iliwawakilishwa…
Read More »RC MTWARA AZINDUA BONGE LA MPANGO YA NMB
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Benki ya NMB imezindua kampeni ya Bonge la Mpango, Mchongo wa Kilimo msimu wa Pili, maalumu kwa ajili ya wakulima wa zao la Korosho Kanda ya Kusini, ambapo kwa wiki Tano wakulima watajishindia Pikipiki Moja na fedha taslimu. Kampeni hiyo imezinduliwa leo Novemba 02, 2023 na…
Read More »PATO LA TAIFA LIMEKUWA, MFUMKO WA BEI UMEPUNGUA – BOT
BRYSON MSHANA Mtwarapressclub@gmail.com Taarifa iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania leo Octoba 31, 2023 imeeleza kuwa Pato la Taifa kwa Tanzania Bara lilikua kwa kiwango cha kuridhisha cha asilimia 5.4 na asilimia 5.2 katika robo ya kwanza na ya pili, na kuna matarajio ya kufikia makadirio ya ukuaji wa asilimia…
Read More »KAMATI YA FEDHA YAFANYA UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASASI MJI.
RABIA MUSSA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Kamati ya Fedha na Utawala Halmashauri ya Mji Masasi Oktoba 27, 2023 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi Hashim Namtumba na…
Read More »DC MTWARA APONGEZA ONGEZEKO LA WANUNUZI WA KOROSHO MSIMU 2023/2024
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamis Munkunda amewapongeza wanunuzi wanaoendelea kujitokeza kununua Korosho za Tanzania msimu 2023/2024, kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika na kuaminika kwa Tanzania katika biashara za kimataifa. Mkuu huyo wa Wilaya ametoa pongezi hizo Octoba 27, 2023 wakati akitoa salamu za…
Read More »WAKULIMA WA KOROSHO WAELIMISHWE JUU YA MWENENDO WA SOKO KABLA YA MINADA KUANZA
BRYSON MSHANA, MTWARA 0787 568 733 MINADA ya ununuzi wa zao la Korosho nchini Tanzania kwa msimu 2023/2024 imefunguliwa rasmi Oktoba 20, 2023 ambapo wastani Tani 18,000 zilipelekwa sokoni na kuuzwa kwenye minada miwili ya kwanza iliyofanyika Mkoani Mtwara kupitia vyama vikuu vya Ushirika vya Tandahimba – Newala (TANECU) na Masasi-…
Read More »MAMCU YAFANYA MNADA WA KWANZA WA KOROSHO MSIMU 2023/2024
BRYSON MSHANA, NANYUMBU mtwarapressclub@gmail.com Mnada wa kwanza wa ununuzi wa Korosho Msimu 2023/2024, umefanyika Octoba 20,2023 katika Kijiji cha Mburusa Wilaya ya Nanyumbu Mkoani Mtwara, huku kampuni zaidi ya 30 zikijitokeza kuonesha nia ya kununua Korosho katika mnada huo. Jumala ya Tani za korosho 10,000 zimeuzwa kwa bei ya kati…
Read More »WIZARA & TPA WAUNDA KAMATI KOROSHO ZIPITE BANDARI YA MTWARA
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wameunda kamati kwa ajili ya kushughulikia maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutaka Korosho za Mtwara zisafirishwe kupitia Bandari ya Mtwara. Hayo yameelezwa Oktoba 04, 2023…
Read More »









