Uchumi
MATUMIZI YA GESI ASILIA YA KUPIKIA YANAVYOWEZA KUPUNGUZA GHARAMA
HAIKA KIMARO, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wakati dunia ikikabiliwa na mabadiliko ya tabia nchi. Shughuli za kinadamu zinaelezwa kuwa chanzo cha mabadiliko hayo ikiwamo ukataji miti bila ya kupanda mingine. Miti hukatwa kwa sababu nyingi, wapo wanaokata kwasababu ya shughuli za ujenzi na kilimo, lakini ukataji wa miti kwa ajili ya nishati…
Read More »MABORESHO BANDARI YA MTWARA YAMEONGEZA UFANISI: KANALI AHMED ABAS
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas ameeleza kuwa uwekezaji wa Bandari uliofanywa na serikali ya awamu ya sita, umeongeza uwezo na ufanisi katika kuhudumia wateja mbalimbali waaotumia Banari ya Mtwara. Kanali Ahmed Abas amesema hayo Mjini Mtwara Leo Jumamosi Septema 09, 2023 wakati akizungumza…
Read More »WAWEKEZAJI MNAKARIBISHWA MBINGA DC” MARTINA NGAHI
SILIVIA ERNEST, MBINGA mtwarapressclub@gmail.com Kaimu Mkuu wa Idara ya Viwanda, Bishara na Uwekezaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Bi. Martina Ernest Ngahi ametoa wito kwa wawekezaji waliopo ndani na nje ya Mkoa wa Ruvuma kuja kuwekeza katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga. Bi. Martina ametoa wito huo tarehe 2 Septemba…
Read More »MBINGA DC YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO
SILVIA ERNEST, MBINGA mtwarapressclub@gmail.com Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imevuka lengo katika ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya mapato ya ndani kiasi cha shilingi Bil. 6.478 katika mwaka wa fedha 2022/ 2023 ulioanza Julai 01, 2022 hadi Juni 30, 2023. Makisio ya awali ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2022/2023 yalikuwa…
Read More »SERIKALI YADHAMIRIA KUREJESHA MINADA YA MADINI
Mwandishi Wetu, Dodoma mtwarapressclu@gmail.com Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba, amesema katika kuhakikisha biashara ya Tanzanite inafanyika nje ya eneo la Mirerani Wizara ya Madini inatarajia kurejesha Maonesho ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Arusha. Maonesho hayo yannatarajiwa kufanyika Jijini Arusha kila mwaka kulingana na kalenda …
Read More »MKOA WA LINDI NA UTAJIRI WA AINA MBALIMBALI ZA MADINI
BRYSON MSHANA, LINDI 0787 568 733 Sekta ya madini imeendelea kukua kwa kasi katika mkoa wa Lindi kutokana na maeneo mengi mkoani humo kuelezwa kuwa na madini ya aina mbalimbali. Ukuaji huu wa sekta ya Madini Mkoani Lindi, umetokana na usimamizi mzuri wa Serkali kupitia Wizara ya Madini, uongozi wa…
Read More »MNADA WA KWAZA WA MBAAZI WAFANYIKA MTWARA, BEI YAFIKIA SHILINGI 2,003
MOHAMED MWAYA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Chama kikuu cha ushirika wa Wilaya za Masasi, Mtwara na Nanyumbu (MAMCU LTD) kimefanya mnada wa kwanza wa zao la mbaazikatika kijiji cha Mkululu wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Mnada huo Tarehe 11 Agusti 2023, ikiwa ni mara ya kwanza zao hilo la Mbaazi kuuzwa kupitia…
Read More »TAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WAFANYABIASHARA KWA UADILIFU
MWANDISHI WETU, SONGWE mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe ameziagiza Taasisi za Umma kuendelea kutoa huduma kwa wafanyabiashara kwa weledi na uadilifu, ili kutimiza malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini. Vile vile amewaagiza Maafisa wa Taasisi zinazohudumia Kituo…
Read More »TIC KUSHIRIKIANA NA OFISI ZA WAKUU WA MIKOA KUKUZA UWEKEZAJI NCHINI
BRYSON MSHANA, LINDI www.mtwarapressblog.co.tz Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC), kinaendelea na juhudi za kuhakikisha kuwa uwekezaji unazidi kuimarika ikiwa ni pamoja na kuweka mazingira rafiki, kinaibua na kutangaza fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana Tanzania. Katika kuhakikisha kuwa jitihada hizo zinafanikiwa, TIC imeeleza kuwa itaanza kukutana wakuu wa Mikoa mbalimbali nchini…
Read More »HOW NATURAL GAS REDUCES COOKING COSTS, SAVE FORESTS
BY HAIKA KIMARO, MTWARA www.mtwarapressclub.co.tz Type of cooking fuel and how you use it is one among major factors which contribute to climate change. In countries like Tanzania where firewood and charcoal are the main cooking fuel the situation is getting worse as forests are decimated in order to meet…
Read More »









