Uchumi
SERIKALI KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI KWA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji amesema Serikali inatekeleza jitihada mbalimbali katika kuhakikisha inaweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji pamoja na kutatua changamoto walizonazo. Dkt. Kijaji amesema hayo Agosti 1, 2023 alipotembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za…
Read More »BRELA YAAGIZWA KURASIMISHA WAFANYABIASHARA ARUSHA
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ameiagiza Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuweka kambi Mkoani Arusha kwa lengo la kurasimisha wafanyabiashara wa kilimo ili wapate leseni, tini na vibali vya kusafirisha mazao nje ya nchi. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Agosti…
Read More »DKT: KIJAJI ATEMBELEA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) awataka Maafisa Biashara wote nchini kukagua bei ya Sukari duka kwa duka na atakae kutwa na bei zaidi ya shilingi 3,200 achukuliwe hatua za kisheria. Waziri Kijaji ameyasema hayo Agosti 2, 2023 alipotembelea Kiwanda cha kuzalisha Sukari…
Read More »SERIKALI KUENDELEA KUKUZA SEKTA BINAFSI NCHINI
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Viwanda Na Bishara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Serikali inahakikisha sekta binafsi inaendelea kukua na hakuna kiwanda chochote kitakachofungwa ili kuendelea kuongeza ajira na kukuza uchumi wa Taifa Waziri Kijaji ameyasema hayo Agosti 1, 2023, wakati alipotembelea Kiwanda cha A to Z kilichopo jijini…
Read More »GAVANA NA MADIWANI KUTOKA ANJOUAN COMORO WAWASILI MTWARA
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Gavana Annis Chamsidine kutoka kisiwa cha Anjouan kilichopo Nchini Comoro akiambatana na Madiwani wa eneo hilo, wamewasili Mkoani mtwara kwa ziara ya kibiashara. Pamoja na mambo mengine ziara hiyo pia inalenga kudumisha mawasiliano mazuri Katika visiwa vya Comoro na Tanzania, hasa katika nyanja za biashara, huduma…
Read More »DK.MWINYI AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI KUONDOA URASIMU KATIKA BIASHARA
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi zinazosimamia biashara kuhakikisha zinaondoa urasimu na kuwawezesha wafanyabiashara nchini kwa kuwekea mazingira rafiki ya biashara zao. Ameyasema hayo trehe 13 Julai 2023, wakati akifunga Maonesho ya 47 ya Biashara ya…
Read More »RC TALACK AMEZINDUA MAONYESHO YA MADINI NA UWEKEZAJI LIND
MWANDISHI WETU, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amezindua rasmi Maonesho ya Madini na Uwekezaji kwa lengo la kuongeza fursa za kiuchumi kwa wananchi wa mkoa huo. Telack amezindua maonesho hayo kwenye kikao cha wadau wa madini kilichofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Tarehe…
Read More »RC MTWARA AIPONGEZA BRELA KUTOA MAFUNZO KWA MAOFISA BIASHARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.co Wakala wa Usajili na Biashara (BRELA), wakishirikiana na ofisi ya Rais TAMISEMI na wizara ya uwekezaji na viwanda, wamepongezwa kwa kutoa mafunzo ya maafisa biashara 100 kutoka mikoa 10 ya Tanzania Bara yaliyofanyika Mkoani Mtwara. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo kwenye ukumbi wa Boma Mjini…
Read More »MAJALIWA AZITAKA HALMASHAURI KUSHIRIKISHA WACHIMBAJI UANDAAJI WA SHERIA NDOGO
MWANDISHI WETU, MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote za wilaya na miji, kwenye maeneo yenye madini ziandae sheria ndogo (by-laws) kwa kushirikiana na wadau katika sekta ya madini ili ziendane na Sheria ya madini. Ametoa agizo hilo Jumanne (Mei 09, 2023) wakati akifungua Kongamano la Wachimbaji Madini na…
Read More »RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA UCHIMBAJI MADINI MUHIMU NA YA KIMKAKATI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mikataba baina ya Serikali ya Tanzania na Kampuni tatu (3) za Uchimbaji Madini Muhimu na Madini ya Kimkakati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili…
Read More »









