Uchumi
TAMISEMI YAWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2023-2024
ALEX SONNA-DODOMA mtwarapressclub@gmail.com OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewasilisha bajeti yake bungeni huku ikiomba kuidhinishiwa zaidi ya Sh trilioni 9. Akiwasilisha bungeni Jijini Dodoma Aprili 14 2023,Waziri wa Tamisemi, Angela Kairuki amesema fedha hizo ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya ofisi ,mishahara,mikoa,miradi…
Read More »MWENDENDO WA BEI ZA BIDHAA MUHIMU APRILI 2023
ALEX SONA, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com WIZARA ya Uwekezaji Viwanda na Biashara imetoa mwendendo wa bei za bidhaa muhimu nchini kwa Mwezi Aprili 2023, huku,mchele,mahindi,unga wa mahindi,maharage vikipungua bei na vifaa vya ujenzi vikiendelea kuonesha uhimilivu kwa kutokuwa na mabadiliko. Pia imesema inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa…
Read More »TRA YATOA RIPOTI YA MAKUSANYO YA MAPATO 2022/2023
WAZIRI BITEKO KUKUTANA NA WACHIMBAJI WA MADINI YA VIWANDANI APRIL 5,2023
MWANDISHI WETU mtwarapressclub@gmail.com Shirika la Madini la Taifa(STAMICO)limeandaa mkutano wa siku mbili unaolenga kujadili changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo wa madini nchini, unaotarajiwa kufanyika Aprili 5 na Aprili 6, 2023, Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko. Hayo ni kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika…
Read More »PROF.NDALICHAKO AWAPA SOMO WAJASIRIAMALI MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof.Joyce Ndalichako amewaasa wajasiriamali mkoani Mtwara kutumia Mwenge wa Uhuru kama chachu ya kukuza biashara na huduma. Akifungua maonesho ya biashara, uwekezaji na fursa kwenye viwanja vya mashujaa park Mtwara Machi…
Read More »BENKI YA DUNIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTEKELEZA PPP
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru akiongoza kikao kati ya Serikali na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB), cha kujadili namna bora ya utekelezaji wa PPP sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) na uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji na ufanyaji…
Read More »DK. MWINYI AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI KUTOKA UINGEREZA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Machi 23, 2023 (Picha na Ikulu Zanzibar). Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi…
Read More »MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA TBL
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo Bw. Leonard Mususa, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Benki Kuu Dodoma tarehe 22 Machi 2023. Makamu wa Rais wa Jamhuri…
Read More »NMB YATENGA BILIONI 20 KUCHANGIA UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO NCHINI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Benki ya NMB imetenga mikopo ya shilingi bilioni 20 itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni dhamira ya benki hiyo katika kuinua ufanisi wa sekta hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa Mkuu wa Wateja Wadogo wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi aliyezungumza na …
Read More »GGML,HALMASHAURI ZASAINI MAKUBALIANO YA CSR SH BILIONI 19 GEITA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Geita Gold Mining Limited, Elder Damon pamoja (kulia) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi (kushoto) wakionesha makubaliano waliyosaini kwa ajili ya utekeleza wa mpango huduma kwa jamii (CSR). GGML imetoa jumla ya Sh bilioni 19 kutekeleza makubaliano hayo ya CSR kwa mwaka 2022/2023. Anayeshuhudi…
Read More »







