Uchumi
UTAFITI WA VIWANDA NI MUHIMU UWEZESHWE
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwakilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2022/2023 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Biashara Machi 21, 2023 katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya…
Read More »NAIBU WAZIRI WA MADINI ATEMBELEA BANDA LA BARRICK
Wafanyakazi wa Barrick wakibadilishana mawazo katika banda la maonesho lililopo katika ukumbi wa AICC mjini Arusha. Wafanyakazi wa Barrick wakibadilishana mawazo katika banda la maonesho lililopo katika ukumbi wa AICC mjini Arusha. Wafanyakazi wa barrick wanaoshiriki mkutano wa jukwaa la pili la utekelezaji wa ushirikishwaji watanzania katika sekta ya…
Read More »Dkt. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa tarehe 16 Machi, 2023 amezindua rasmi mfumo wa ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) na wa utoaji wa huduma kwenye jamii unaofanywa na migodi ya madini (CSR) Dkt. Kiruswa amefanya uzinduzi huo kwenye Jukwaa la…
Read More »BANDARI YA TANGA YAANZA KUPOKEA MELI ILIYOBEBA MAGARI
OSCAR ASSENGA, TANGA. www.mtwarapressblog.co.tz Rais Dkt Samia Suluhu ameendelea kuiwekea historia kubwa Bandari ya Tanga kutokana na maboresho makubwa iliyoyafanya na sasa wameanza kupokea meli kubwa iliyoshusha magari kwenye Bandari hiyo Magari hayo yalishushwa kwenye meli kubwa ya mizigo yenye urefu wa mita 179 ambayo iliweza kutia nanga katika gati…
Read More »MKUTANO WA JUKWAA LA PILI LA UTEKELEZAJI WA USHIRIKISHWAJI WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI
Meneja wa Barrick nchini, Dk. Melkiory Ngido (katikati) akifuatilia mada za ufunguzi wa mkutano huo,(kushoto) kwake ni Afisa Mwendeshaji Mkuu wa kampuni ya Max Steel,Purvita Vadgama na (kulia) ni Mhasibu Mwandamizi wa kampuni ya Apex,Christina Padilla. Barrick na Twiga ni wadhamini wakuu wa mkutano huo Baadhi ya washiriki wa mkutano…
Read More »WAZIRI MKUU: VIJANA MSIOGOPE KUKOPA MITAJI
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari kurejesha mikopo hiyo. “Vijana wetu msiogope kukopa ili kupata mitaji. Bila kukopa huwezi kupata maendeleo. Eneo muhimu ni kupata taasisi za fedha kama CRDB…
Read More »DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI MADINI KUFIKIA MALENGO MAKUBWA YA SERIKALI
GREYSON MWASE NA ASTERIA MUHOZYA, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema Wizara inayo majukumu makubwa iliyopewa na Serikali ikiwemo kuhakikisha Sekta ya Madini inachangia asilimia 10 katika Pato la Taifa ifikapo mwaka 2025. Ametaka kazi kuwa kipimo cha ukaribu cha utendaji wa kazi kwa watumishi wa wizara…
Read More »UZALISHAJI WA GESI ASILIA WAONGEZEKA
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limesema uzalishaji wa gesi asilia katika kiwanda cha kuchakata gesi hiyo cha Madimba Mkoani Mtwara, umeongezeka kutoka futi za ujazo 45 mwaka 2015, hadi kufikia futi za ujazo 105. Hayo yameelezwa kiwandani hapo Machi 9, 2023 na meneja uzalishaji…
Read More »DOLA ZA MAREKANI MILIONI 8.5 KULIPA FAIDA WANANCHI KIGAMBONI
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Kampuni ya Nyati Mineral Sands Ltd kuanza kulipa fidia wananchi wapatao 1,200 wa Kigamboni waliopisha eneo la mradi wa uchimbaji wa madini mazito ya mchanga wa baharini (Heavy Mineral Sand). Dkt. Kiruswa amesema maeneo hayo yalishafanyiwa…
Read More »BOT YASHINDA TUZO YA UZINGATIAJI SHERIA, KANUNI ZA SERIKALI MTANDAO
Benki Kuu ya Tanzania imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha ‘Uzingatiaji wa Sheria, Miongozo na Kanuni za Serikali Mtandao’. Tuzo hiyo kwa BOT ilitolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Mhe. Deogratius Ndejembi, tarehe 8 Februari 2023 jijini Arusha kwenye kikao kazi cha 3 cha Serikali…
Read More »







