Uchumi
RUVUMA, MOROGORO, NJOMBE KUUNGANISHWA KWA LAMI
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI kupitia Wakala za Barabara TANROADS inatarajia kuanza mradi wa kuunganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Morogoro kwa barabara ya lami. Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa nchini ambayo tayari wilaya zake zote zimeunganishwa kwa lami na makao makuu ya Mkoa. Meneja wa TANROADS…
Read More »UMITASHUMTA & UMISSETA ILIVYOCHANGAMSHA BIASHARA TABORA, WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA.
BRYSON MSHANA www.mtwarapressblog.co.tz MASHINDANO ya Michezo ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini (UMISSETA & UMITASHUMTA) mwaka 2022 ilifanyika kitaifa mkoani Tabora, kuanzia Julai 29, 2022 hadi Agusti 19, 2022 ambapo mikoa yote ya Tanzania ilishiriki kupitia wawakilishi mbalimbali. Michezo hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI…
Read More »

