Habari
MWENGE WA UHURU WAZINDUA DARAJA LA KINYANG’ERERE
MWANDISHI WETU, MARA Jumla ya shilingi Milioni 148.5 zimetumika Kujenga Daraja la kinyang’erere lililopo katika kijiji cha kinyang’erere halmashauri ya Musoma Mkoani Mara. Akisoma Taarifa ya ujenzi wa Mradi huo Kaimu Meneja wa TARURA Wilaya ya Musoma Mhandisi Mohmed Etanga amesema daraja hilo limekamilika ujenzi wake kwa asilimia mia moja…
Read More »UJENZI WA MADARAJA BARABARA YA DAR ES SALAAM – LINDI UNAENDELEA KWA KASI
MWANDISHI WETU, LINDI Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema ujenzi wa madaraja katika barabara kuu ya Dar es Salaam–Lindi (T7) unaendelea kwa kasi kupitia mpango wa dharura wa CERC, unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa zaidi ya shilingi bilioni 114. Akizungumza wakati wa ziara…
Read More »SERIKALI TUNAJIVUNIA MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KIMAENDELEO – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuziunga mkono na kushirikiana na taasisi zote za dini ili kuleta na kuchagiza maendeleo na Ustawi wa wananchi. Dkt. Biteko amesema hayo Agosti 17, 2025 wakati akimwakilisha…
Read More »TUME YA UCHAGUZI YAHITIMISHA MAFUNZO YA WASAIDIZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI
MWANDISHI WETU, ZANZIBAR TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imehitimisha mafunzo ya siku tano kwa wasaidizi wa wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ambapo washiriki wametakiwa kutumia mafunzo hayo kwa ufanisi ili kuhakikisha zoezi linafanyika kwa haki na amani. Akizungumza wakati wa kufunga…
Read More »WAKULIMA WAASWA KUWEKEZA KWENYE VITUO VYA MAFUTA,BIASHARA YA LPG
MWANDISHI WETU, KIGOMA Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Balozi Simon Sirro, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi kwa kufanikisha utoaji wa elimu na kuwafikia wakulima na wafugaji katika maonesho ya Nanenane, yaliyofanyika katika viwanja vya Ipuli, mkoani Tabora, kuanzia Agosti 1…
Read More »NACTVET YATOA MUONGOZO WA UDAHILI KWA WANAFUNZI NGAZI YA ASTASHADA NA SHAHADA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
BRYSON MSHANA, MTWARA Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limeeleza kuwa limefungua dirisha la udahili awamu ya pili kwa kozi za Afya na sayansi Shirikishi, ngazi ya Astashahada na Stashahada kuanzia Tarehe 25 Julai hadi 28 Agodti 2025. Kwa mujibu wa Meneja wa…
Read More »WAKULIMA WASISITIZWA KUPIMA UDONGO KABLA YA KULIMA
MWANDISHI WETU, MOROGORO CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Idara ya Sayansi ya Udongo na Jiolojia kimeshauri kuwa ni vema mkulima anayelenga kulima kwa tija kuhakikisha anapima afya ya udongo pamoja na afya ya mbegu atakazozitumia kabla ya kuanza shughuli za kilimo, ili kuepuka hasara na kuongeza ufanisi…
Read More »RAS PWANI APONGEZA NARCO KWA KAZI BORA YA UFUGAJI WA KISASA NA UZALISHAJI WA NYAMA BORA NCHINI
MWANDISHI WETU, MOROGORO Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bi Pili Mnyema, ameitka Kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO kushirikiana na wafugaji wadogo kwa kuwapatia elimu, mbegu bora za mifugo, na kuwahusisha katika mnyororo wa thamani wa mifugo ili kukuza mazao ya mifugo na kuchochea uchumi wa ndani na kutoa…
Read More »JESHI LA POLISI MKOA MTWARA LAPOKEA BOTI YAKISASA YA DORIA KWA AJILI YA KUIMARISHA ULINZI WA BAHARINI
BRYSON MSHANA, MTWARA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limepokea boti ya kisasa ya doria kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo ya Bahari ya Hindi, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa kuimarisha vikosi vya usalama baharini. Boti hiyo ni miongoni mwa boti 11 zilizotolewa kwa…
Read More »SDA YATAKA UZINGATIWAJI WA USAWA KWA WATU WENYE ULEMAVU
MUSSA MTEPA, MTWARA Katika juhudi za kuendeleza elimu jumuishi na kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu, Shirika lisilo la Kiserikali la Sport Development Aid (SDA), linalojihusisha na kuwawezesha mabinti kupaza sauti, limeandaa warsha maalum ya siku moja iliyofanyika Mkoani Mtwara. Warsha hiyo imelenga kujadili changamoto na fursa zinazohusu watu wenye ulemavu, ikiwakutanisha…
Read More »









