Habari
TARURA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI JIJINI DODOMA
MWANDISHI WETU, DODOMA Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inashiriki Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Maonesho vya Nzuguni jijini Dodoma. TARURA inashiriki maonesho hayo kwa lengo la kutoa elimu kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kupokea maoni na malalamiko kutoka kwa wananchi. Mkuu…
Read More »UJUMBE KUTOKA MSUMBIJI WATEMBELEA WIZARA YA ARDHI
MUNIR SHEMWETA, WANMM Ujumbe kutoka nchini Msumbiji umetembelea Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika masuala yanaohusu sekta ya ardhi. Ujumbe huo wa watu tisa ukiongozwa na Mkurugenzi anayehusika na masuala ya Ardhi na Mipango Maalum wa Wizara ya Kilimo, Mazingira na Uvuvi…
Read More »PROF. MWANDOSYA KINARA WA MATIBABU YA SARATANI NCHINI – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemuelezea Prof. Mark Mwandosya kuwa ni Shujaa wa Saratani ya Damu (Multiple Myeloma) ambaye ameishi na Saratani kwa zaidi ya miaka 14. Dkt. Biteko amesema hayo (Julai 29) jijini Dar…
Read More »ASHIKILIWA NA POLISI KWA KUDAIWA KUMUUWA BABA YAKE BAADA YA MGOGORO WA FEDHA ZA UFUTA
BRYSON MSHANA, MTWARA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Zawadi Ally Mohamed (24) mkazi wa Kijiji cha Nanyanga Wilaya ya Tandahimba kwa tuhuma za mauwaji ya Ally Mohamed Zawadi (59) ambaye ni baba yake mzazi, baada ya kutokea mgogoro wa fedha za ufuta.…
Read More »MAFUNZO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KUWAJENGEA UELEWA WATAALAMU WA TANZANIA NA BURUNDI
Munir Shemweta, WANMM Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi…
Read More »VITUO VIWILI VYA KUPUNGUZA KASI YA MAFUTA GHAFI EACOP KUJENGWA NCHINI
NEEMA MBUJA, MANYARA Jumla ya vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi yanayotoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani- Tanga vinatarajia kujengwa ili kusaidia upunguzaji wa kasi ya mafuta ghafi yanayosafirishwa sambamba na kulinda miundombinu ya bomba hilo la mafuta. Hayo yamesemwa na Mtaalamu wa Ujenzi wa Miundombinu hiyo kutoka…
Read More »MD TWANGE AELEKEZA MRADI WA TAZA KUKAMILIKA KWA WAKATI
MWANDISHI WETU, IRINGA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amefanya ziara ya kikazi tarehe 23 Julai 2025 kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Tanzania – Zambia (TAZA) katika Mkoa wa Iringa na Njombe maneo ya ujenzi wa njia ya umeme na vituo vya kupoza…
Read More »KAMATI YA UKAGUZI TARURA YAKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA MKOANI SINGINDA
MWANDISHI WETU, SINGIDA Kamati ya Ukaguzi ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake CPA Ally Rashid imeanza ziara ya kukagua Miradi ya ujenzi wa Miundombinu ya barabara mkoani Singida. Kamati hiyo Mkoani Singida imetembelea miradi miwili ya ujenzi wa daraja la mawe Mkonjigwe lenye…
Read More »RAIS SAMIA ATOA BILIONI NNE UJENZI KIWANDA CHA KUZALISHA NISHATI MBADALA
WIZARA YA NISHATI, DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) tarehe 22 Julai, 2025 wamesaini mkataba wenye lengo la kujenga kiwanda kipya cha kuzalisha nishati mbadala (Mkaa mbadala wa Rafiki Briquettes) mkoani Geita ambapo mkataba huo una thamani ya…
Read More »DKT. BITEKO AZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MAWASILIANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
NA OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mkakati wa Taifa wa Mawasiliano wa Nishati Safi ya Kupikia, pamoja na Kampeni ya Kitaifa ya Uhamasishaji na Uelimishaji kuhusu Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia lengo likiwa…
Read More »








