Habari
TAKUKURU MTWARA YAZIBANA AMCOS KUWALIPA WAKULIMA WA KOROSHO ZAIDI MILIONI 79 ZA MSIMU 2024/2024
BRYSON MSHANA, MTWARA Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Mkoa wa Mtwara, imesaidia kufanikisha kupatikana kwa malipo ya wakulima wa Korosho msimu 2024/2025 ambayo yalikuwa yamekwamishwa na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika. Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa leo tarehe 27 Mei 2025 na Mkuu wa TAKUKURU…
Read More »MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha, kuimarisha, kurahisisha na kuwezesha upatikanaji wa umeme na nishati safi ya kupikia kwa gharama nafuu ili kupunguza athari za kiafya, mabadiliko ya tabia nchi na…
Read More »TANZANIA YADHAMIRIA KUENDELEZA MAGEUZI YA KIDIGITALI KATIKA ELIMU – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wadau wa elimu barani Afrika kuendeleza mkakati na ushirikiano utakaowezesha mageuzi ya kidigitali katika sekta ya elimu. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Mei 8, 2025 jijini Dar es salaam…
Read More »DKT. BITEKO AWATAKA MAAFISA MAENDELEO JAMII WASIKUBALI KUACHWA NYUMA
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza maafisa maendeo ya jamii nchini kushirikiana na kuhakikisha wanashirikishwa katika mipango ya nchi kuanzia ngazi za halmashauri na kuwezesha jamii kujiletea maendeleo endelevu na jumuishi kwa maslahi mapana ya…
Read More »SAMIA KALAMU AWARDS 2025 NI HESHIMA KUBWA KWA TASNIA YA HABARI TANZANIA
BRYSON MSHANA, MTWARA Usiku wa Tarehe 05 Mei 2025 ulikuwa wa kipekee na kihistoria katika Tasnia ya habari hapa Nchini, kufuatia utoaji wa Tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari, Vyombo vya habari na wakongwe wa sekta ya habari zilizofahamika kwa jina la SAMIA KALAMU AWARDS 2025. Tuzo hizi ziliandaliwa…
Read More »DKT. BITEKO AWASILISHA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2025/2026
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, DODOMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/2026 ya kiasi cha shilingi Trilioni 2.2 ambapo asilimia 96.5 ya Bajeti yote ni…
Read More »MCHENGERWA ATOA MIEZI MIWILI BARABARA ZA TARURA IKWIRIRI ZIKAMILIKE
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha wakandarasi wanakamilisha ujenzi wa barabara za lami Ikwiriri ndani ya miezi miwili ili wananchi wanufaike na maboresho ya miundombinu hiyo yanayofanywa na Serikali…
Read More »CWT MTWARA MANISPAA WAFANYA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI
MTWARA Chama cha Waalimu Manispaa ya Mtwara kimefanya mkutano wake mkuu ulioambatana na zoezi la uchaguzi kwa ajili ya kuwapata viongozi mbalimbali watakaokiongoza Chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano Ijayo. Mwenyekiti wa Chama Cha Waalimu Mkoa wa Mtwara Mwalimu ndule Emanuel ameelezea Mkutano huo kuwa ni wa kikatiba na…
Read More »WANANCHI KATA YA GOIMA, WILAYANI CHEMBA WAELEZEA MATARAJIO YAO UJENZI WA DARAJA LA IGUNGA
CHEMBA, DODOMA Wananchi wa kata ya Goima wilayani Chemba mkoani Dodoma wameelezea furaha yao kufuatia ujenzi wa daraja la mawe katika korongo la Igunga ambalo limekuwa ni kikwazo cha mawasiliano kwa muda mrefu katika kata hiyo. Daraja hilo linalojengwa katika barabara ya Goima-Igunga-Hamai ni sehemu ya utekelezaji wa progamu ya…
Read More »DKT. BITEKO AZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUPUNGUZA UPOTEVU WA MAJI
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji kwa mwaka 2023/24 na kusema upatikanaji wa huduma za maji ni haki ya msingi hivyo ni muhimu kulinda vyanzo vya maji kuwezesha…
Read More »









