Habari
BILIONI 60 KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPITIWA MRADI WA RUHUDJI NA RUMAKALl
MWANDISHI WETU, NJOMBE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali, ili wananchi hao wapishe maeneo hayo na waweze kuendelea na shughuli zao za kila siku wakati miradi hiyo ikisubiri kutekelezwa.…
Read More »WAKANDARASI WASIMAMIWE KUTEKELEZA MIRADI YA NISHATI KWA WAKATI – KAPINGA
NA WIZARA YA NISHATI Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini. Hayo ameyasema leo Februari 23, 2025 na Kapinga wakati akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO, na wakuu wa…
Read More »OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WENGINE KUBORESHA UTAWALA WA SHERIA NA HAKI KITAIFA NA KIMATAIFA
BRYSON MSHANA, MTWARA Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeahidi kuwa itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi zinazohusika na haki madai pamoja na wadau wengine kama Mahakama, asasi za kiraia, mashirika ya kimataifa na jumuiya za kikanda na kimataifa ili kuboresha utawala wa sheria na haki katika ngazi ya kitaifa,…
Read More »DKT. BITEKO AKAGUA UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU NA JENGO LA WIZARA YA NISHATI
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma kukagua maendeleo ya ujenzi majengo ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu pamoja na Wizara ya Nishati ambayo ujenzi…
Read More »WATHAMINI WAPATIWA MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI
Munir Shemweta, KILIMANJARO Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi nchini (LTIP) imetoa mafunzo kwa Wathamini na Warasimu Ramani kwa ajili ya zoezi la Uandaaji Vitalu vya Thamani ya Ardhi (Valuation Block). Mafunzo hayo ya siku tatu yameanza tarehe 16…
Read More »TUWAINUE WABUNIFU WAZAWA KUWANADI KIMATAIFA – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada za kuwainua wabunifu wawekezaji nchini, bado kuna umuhimu mkubwa wa kuwawezesha wabunifu wetu kukua zaidi ndani na nje ya mipaka ya nchi. Dkt. Biteko amesema…
Read More »WADAU WATOA MAONI KUHUSU UTAMBUZI NA USAJILI WA WADAU WA SEKTA YA MILKI
Munir Shemweta, WANMM Wadau wa sekta ya milki mkoa wa Dar es Salaam na Pwani wametoa maoni mbalimbali kuhusiana na utambuzi na Usajili wa wadau wa sekta ya milki nchini. Mjadala kuhusu Utambuzi na Usajili wa wadau wa sekta ya milki umefanyika jijini Dar es Salaama jana na kuhudhuriwa na…
Read More »TUOKOE MAISHA YA WATANZANIA KWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA – DKT BITEKO
Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kuokoa maisha yao kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ambayo itawaepusha na madhara yanayotokana na Nishati isiyo safi ikiwemo athari katika mfumo wa upumuaji. Dkt. Biteko ameyasema…
Read More »“UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’ UZINGATIE UBORA NA THAMANI YA FEDHA,” WAZIRI MHAGAMA
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na mawe Wilayani Hanang’ Mkoa wa Manyara uzingatie viwango na thamani ya fedha. Waziri Mhagama ametoa kauli…
Read More »RUNALI YAKABIDHI MADAWATI 143 KWA SHULE ZA MSINGI RUANGWA
MWANDISHI WETU, RUANGWA mtwarapressclub@gmail.com Chama kikuu cha ushirika RUNALI kinacho hudumia wilaya za Nachingwe, Ruangwa na Liwale Mkoani Lindi, kimekabidhi jumla ya madawati 143 klwa Halamshauri ya Wilaya ya Ruangwa ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake wa kurejesha faida wanayoipata kwa jamii. Madawati hayo yamekabidhiwa kwa Mkuu wa wilaya ya…
Read More »









