Habari
MADIWANI NANYAMBA WASEMA HAWARIDHISHI NA UTENDAJI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI
MWANDISHI WETU, NANYAMBA mtwarapressclub@gmail.com Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara, wameeleza kutoridhishwa kwao na utendaji kazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa madai ya kupuuza hoja zinazo wasilishwa kwenye vikao vya baraza la madiwani. Madai ya madiwani hayo yameibuka kwenye kikao cha baraza…
Read More »MSAJILI WA HAZINA ZANZIBAR AWASHIKA MKONO WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
MWANDISHI WETU – DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amepokea mchango wa Msajili wa Hazina Kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar uliyowasilishwa kwake Februari 9, 2024 wa kiasi cha Shiliingi za Kitanzania Milioni Hamsini na Nne nukta Tatu (54.3 Milioni) kwa…
Read More »MAKUNDI MAALUM YAPEWE KIPAUMBELE UNUNUZI WA UMMA-DKT. BITEKO
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameagiza Taasisi zote za ununuzi nchini (Serikali na Binafsi) kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika manunuzi ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya nchi ili kukuza uchumi wa Watanzania na wazingatie kutoa kipaumbele kwa wafanyabiashara wadogo na makundi…
Read More »MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA, BUNGE NA URATIBU) BUNGENI DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malecela wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 14, kikao cha Tano Jijini Dodoma Februari 5, 2024. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)…
Read More »WAZIRI MHAGAMA AAGIZA HUDUMA ZA KIJAMII ZILIZOATHIRIWA NA MAFURIKO MOROGORO ZIREJESHWE
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uraribu Jenista Mhagama ameagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kijamii zilizoharibiwa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha Januari 25 2024 Manispaa ya Morogoro na kusababisha watu zaidi ya 200 kukosa makazi. Akizungumza mara baada ya kutembelea…
Read More »KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA 2022 CHAFANYIKA ZANZIBAR
MWANDISHI WETU, ZANZIBAR mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, ameongoza kikao cha Kumi cha Kamati hiyo kilichofanyika katika tarehe 15 Januari, 2024. Kikao hicho kimefanyika kwenye …
Read More »TAHOA YAKABIDHI MABATI 1,143 KWA WAATHIRIKA WA MAAFA YA HANANG
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Jumuiya ya Kampuni za Kuongoza Uwindaji wa Kitalii Tanzania (Tanzania Hunting Operators Association-TAHOA) imeendelea kutoa mkono wa pole kwa jamii ya Wana Hanang waliopatwa na maafa ya mafuriko yaliyotokea mwezi Desemba 2023. Katika mwendelezo huo wa kutoa mkono wa pole, Januari 11, 2024 TAHOA imekabidhi msaada…
Read More »DC MASASI ATANGANZA MSAKO WA WANAFUNZI AMBAO HAWAJARIPOTI KIDATO CHA KWANZA
BRYSON MSHANA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mkoani MtwaraLauteri Kanoni , imesesema wanajipanga kuanza msako kwa wanafunzi watakaokuwa hawajaripoti shuleni na wazazi wenye wanafunzi waliopangiwa kuanza kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za Sekondari wilayani humo ifikapo Januari 15, 2024. Amesema hayo Januari 10, 2024 wakati alipofanya ziara…
Read More »DKT. BITEKO APONGEZA JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA KUSTAWISHA DEMOKRASIA NCHINI
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kustawisha ustawi wa kidemokrasia nchini, sambamba na kuimarisha miundombinu ya kiuchumi na kijamii ili kuwaletea…
Read More »TAHOA YAKABIDHI ZAIDI YA MILIONI 47 KUNUA VIFAA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA YA HANANG
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Jumuiya ya Kampuni za Uwindaji wa Kitalii Tanzania (Tanzania Hunting Operators Association-TAHOA), imetoa salamu za pole jamii ya Wana Hanang waliopatwa na maafa yaliyosababishwa na maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang mkoani Manyara na kusababisha vifo, majeruhi, uharibifu mkubwa wa miundombinu na…
Read More »









