Habari
WATANZANIA JITOKEZENI KUTOA MAONI MISWADA YA SHERIA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA – DKT. BITEKO
MWANDISHI WETU, GEITA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa mwaka 2023 na Muswada wa Sheria…
Read More »SERIKALI YASIMAMIA VYEMA MIKOA ILIYOKUMBWA NA MAAFA
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amewapongeza Wakuu wa Mikoa ambayo imekumbwa na mafuriko nchini kwa jinsi walivyojitoa kuhakikisha wanawasaidia waathirika wa maafa hayo. Ummy ametoa kauli hiyo wakati alipowatembelea waathirika wa mafuriko wa Kata za Makanya na Hedaru zilizopo Wilaya…
Read More »MTWANGONET YATAKA USHIRIKI WA JAMII KATIKA UFUATILIAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Jamii imeshauriwa kushiriki katika ufuatilaiji na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali katika maeneo yao. Ushauri huo umetolewa Disemba 27,2023 na Deogratius Makoti ambaye ni Afisa ufuatiliaji wa mradi wa utekelezaji fedha za covid 19 za ujenzi wa vyumba vya Madarasa katika Halmashauri…
Read More »MISAADA YAZIDI KUWAFIKIA WAATHIRIKA HANANG
MWANDISHI WETU, HANANG mtwarapressclub@gmail.com Waathirka wa maafa yaliyotokea wilayani Hanang mkoa wa Manyara, Desemba 3, mwaka huu, wameendelea kufikiwa na misaada mbalimbali ya kibinadamu inayotolewa na wadau pamoja na serikali, baada ya serikali kuongeza kiwango cha ugawaji wa misaada kwa kaya kutokana na ongezeko la misaada inayoendelea kupokelewa kutoka kwa…
Read More »SERIKALI YAKABIDHI MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MVUA MBARALI
MWANDISHI WETU, MBEYA mtwarapressclub@gmail.com Serikali imekabidhi misaada ya kibinadamu yenye thamani ya shilingi Milioni 23 kwa waathirika wa maafa ya mvua iliyombatana na upepo mkali iliyosababisha kifo cha mtu mmoja, nyumba 42 kuezuliwa na nyingine kubomoka kuta katika Kata sita za Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Akizungumza wakati akikabidhi misaada…
Read More »TAARIFA ZA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI ZASAIDIA ZOEZI LA UHAKIKI WA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG
MWANDISHI WETU, RUVUMA mtwarapressclub@gmail.com SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022, kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na mawe wilayani Hanang Mkoani Manyara. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia…
Read More »WALIOSOMA IFM WAKABIDHIWA VIFAA VYA TEHAMA CHUONI HAPO
MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Umoja wa Wanafunzi waliosoma Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM Alumin) ambao unajumuisha Watumishi na Wanafunzi waliosoma katika chuo hicho na ambao kwa sasa wanafanya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini wamekabidhi vifaa vya TEHAMA ikiwemo Projector tatu kwa uongozi wa chuo hicho Jijini…
Read More »RC MTWARA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas, amewataka wananchi wa mkoa huo kuendelea kuchua tahadhari ya mvua za Elnino kama ambavyo imetolewa na mamlka ya hali ya hewa nchini, ili kuepusha madhaya yanayoweza kusababishwa na mvua hizo. Kanali Abbas amesema hayo Mjini Mtwara Disemba 23,…
Read More »WANANCHI HANANG WAMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka Mlima Hanang. Wananchi hao wametoa shukrani zao tarehe 20 Disemba, 2023, wakati…
Read More »TIMU YA MAKATIBU WAKUU KUHAKIKISHA UREJESHAJI WA HALI HANANG UNAKAMILI
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya Makatibu Wakuu wa kisekta wametembelea na kukagua zoezi la ugawaji wa misaada ya kibinandamu ikiwemo vyakula kwa waathirika wa Maafa ya Maporomoko wa mawe na tope kutoka mlima Hanang. Timu hiyo pia imekagua maeneo yaliyopata athari na zoezi la kurejesha hali ikiwemo miundombinu ya…
Read More »









