Habari
DOOR OF HOPE TANZANIA YATAKA JUHUDI ZAIDI KUZUIA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Door of Hope Tanzania yenye Makao yake Makuu Mkoani Mtwara, imewaomba wadau mbalimbalimbali kujitokeza na kuunganisha nguvu kwa pamoja katika kuzuia vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu na ukatili wa kijinsia vinavyoendelea kushika kasi mkoani humo. Mkurugenzi Mtendaji wa Door of Hope Bw.…
Read More »KANISA LA PAG LAKABIDHI MAGUNIA 40 YA MAHINDI HANANG’
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) wilaya ya Hanang’ limetoa msaada wa magunia 40 ya mahindi kwa ajili ya waathiriwa wa maporomoko ya udongo, mawe na miti yaliyotokea jumapili Disemba 3,2023 na kuathiri kata nne wilayani humo. Muangalizi wa makanisa ya PAG wilaya ya Hanang’…
Read More »TARI YATOA MSAADA KWA WAKULIMA WALIOATHIRIWA NA MAAFA HANANG
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania – TARI, imekabidhi msaada ya pembejeo za kilimo kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanang. TARI imekabidhi msaada huo leo Disemba 13, 2023, ukijumuisha mbegu za Maharage kilo 400, Alizeti kilo 100 pamoja na…
Read More »UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA MJI WA KATESH WAFIKIA ASILIMIA 75
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclu@gmail.com Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema hadi sasa urejeshaji wa miundombinu ya barabara na makalvati iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya tope na mawe yaliyotokea Disemba 3, 2023 kwenye Mji wa Katesh wilayani Hanang mkoani Manyara umefikia asilimia 75. Kasekenya amesema hayo Disemba 12, 2023…
Read More »GPSA YAKABIDHI MAFUTA YA DIZELI LITA 10,000 HANANG
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameushukuru uongozi wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) kwa msaada wa mafuta ya Dizeli lita 10,000 waliotoa mapema Disemba 10, 2023 kwa lengo la kuendelea kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo kusaidia zoezi la uendeshaji mitambo na magari…
Read More »KILELE CHA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MKOANI MTWARA
RYSON MSHANA, MASASI mtwarapressclub@gmail,com Kilele cha kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mkoani Mtwara, kimefanyika katika Wilaya ya Masasi Desema 10, 2023, kikihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya anyumbu Dkt. Stephan Isaac Mwakajumilo, aliyemuwakilisha Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas. Kampeni ya siku…
Read More »SERIKALI IMEANZA KUSHUGHULIKIA UCHUMI WA WAHABARI
BRYSON MSHANA, DODOMA mshanabryson@gmail.com Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuendelea kulishughulikia changamoto ya uchumi wa waandishi wa habari na Vyombo vya Habari ambalo limekuwa liklalamikiwa na wadau mbalimbali wa habari nchini. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Mobhare Matinyi, wakati akizungumza…
Read More »WAFANYABIASHARA YA SOKO KUU BABATI WATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Uongozi wa chama cha wafanyabiashara ndogondogo kutoka Soko Kuu la Babati wamekabidhi misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe yaliyotokea mlima Hanang’ Mkoani Manyara Disemba 3, 2023. Wafanyabiashara hao wamekabidhi bidhaa mbalimbali ikiwemo nyanya, matunda, mboga za majani, nguo, sabuni…
Read More »DKT. YONAZI AISHUKURU REDCROSS KWA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclu@gmail.com Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameushukuru uongozi wa Taasisi ya Tanzania Red Cross Society kwa namna wanavyoendelea kujitolea na kutoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe yaliyotokea Wilayani Hanang’…
Read More »UANDISHI WA ‘AMESEMA’ UMEPITWA NA WAKATI-RAIS UTPC
BRYSON MSHANA, DODOMA mtwarapressclu@gmail.com Waandishi wa Habari wametakiwa kujikita zaidi katika kufanya utafiti wa kihabari ili kupata undani wa taarifa na kuachana na kuandika habari zilizojikita upande wa viongozi pekee. Rai hiyo imetolewa Desemba 08, 2023 jijini Dodoma na rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)…
Read More »









