Habari
UNICEF YAKABIDHI MISAADA WAATHIRIKI WA MAAFA HANANG’
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Serikali imeendelea kupokea misaada mbalimbali kwaajili ya waathirika wa Maafa Hanang’ ambapo leo Disemba 08, 2023 Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limekabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa lengo la kusaidia waathirika wa maafa Hanang’ huku wakisema wataendelea kushirikiana na Serikali. UNICEF imewasilisha…
Read More »MISAADA YAENDELEA KUTOLEWA HANANG, IDADI YA VIFO YAFIKIA 80
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Kampuni ya Vinywaji ya Bonite Bottlers Limited, imewasilisha salamu zao za pole kwa waathirika wa Maafa ya Mafuriko Hanang kwakutoa mahitaji mbalimbali vikiwemo maji ya kunywa, Unga wa sembe, Mchele, Magodoro pamoja na vitu vingine vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Mil. 50 Aidha, Taasisi ya…
Read More »VYUO VYA SERIKALI VYATAKIWA KUJIENDESHA KIBIASHARA
OR-TAMISEMI, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Serikali imevitaka vyuo vyote nchini kujiendesha kibiashara badala ya kutegemea ruzuku ya fedha za matumizi yao kutoka Serikali Kuu. Akihutubia katika mahafali ya 15 tarehe 07 Novemba, 2023 Chuo cha Hombolo nje kidogo ya Jiji la Dodoma, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (ELIMU) Deogratius Ndejembi ambaye…
Read More »MAJALIWA AWAJULIA HALI MAJERUHI HANANG
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara. Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa manyara,…
Read More »VIONGOZI TUACHE ALAMA NZURI KATIKA UTENDAJI WETU WA KAZI – DKT. BITEKO
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kuwa, kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii kubwa na kuacha alama nzuri kwa wananchi, hivyo ni muhimu kazi hizo zikaonekana na kufaidisha wananchi. Amesema hayo tarehe 5 Desemba 2023 wakati…
Read More »WANANCHI NGORONGORO WANAHAMISHWA KWA KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU
Munir Shemwera, WANMM MOROGORO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amesema Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la hifadhi kwenda kijiji cha Msomera Handeni mkoa wa Tanga wamehamishwa kwa kuzingatia haki za binadamu. Mhe. Pinda amesema hayo tarehe 4 Desemba 2023 mkoani Morogoro wakati…
Read More »SERIKALI YAENDELEA KUCHUA HATUA ZA AWALI KUKABILI MAAFA HANANG’
MWANDISHI WETU, MANYARA mtwarapressclub@gmail.com SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imechukua hatua za haraka kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na maporomoko ya tope yaliyotokea tarehe 03 Disemba, 2023 katika mlima Hanang uliopo Mkoa wa Manyara na kusababisha vifo vya watu, majeruhi na uharibifu mkubwa wa miundombinu…
Read More »WAZIRI MHAGAMA AELEKEA HANANG KURATIBU MAAFA
MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama pamoja na Afisa habari wa Ofisi hiyo Bw. Tegemeo Kastus wameenda Katesh Hanang’ Mkoani Manyara, kufuatia maafa yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea Asubuhi ya Disemba 3, 2023. Wengine walioambatana nao ni kikosi cha pili cha Jeshi…
Read More »MTWARA WAZINDUA RASMI KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoani Mtwara, yamezindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili ikiwa ni sehemu ya kuikumbusha jamii juu ya kukemea na kuripoti vitendo hivyo pale vinapotokea katika maeneo yao. Kampeni ya siku 16 za kupinga Ukatili imeandaliwa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mtwara chini…
Read More »AJALI YA BASI YAUA WATU 14 NA KUJERUHI 26
MWANDISHI WETU, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali ya Basi lenye namba T 336 DPW la kampuni ya Baraka, lililoanguka kitongoji cha Mputo kata ya Mtama mkoani Lindi. Akitoa taarifa rasmi ya ajali hiyo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi…
Read More »









