Habari
AJALI YA BASI LINDI , WATU KADHAA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA
KHOMEIN TV, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kufuatia ajali ya Basi la kampuni ya Baraka lenye namba za usajili T 336 DPW lililokuwa linatoka wilayani Newala kuelekea Dar es Salaam, kuanguka eneo la Mtama, halmashauri ya Mtama mkoani Lindi. Ajali hiyo imetokea leo Novemba 26, 2023 majira ya…
Read More »JAMII YATAKIWA KUKEMEA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wananchi mkoani Mtwara wametakiwa kutofumbia macho na badala yake wakemee na kuripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyotokea katika maeneo yao. Wito huo umetolewa Novemba 25 ,2023 na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda,wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ufunguzi wa kampeni ya siku…
Read More »CCM MKOA WA RUVUMA YAKUMBUSHA JAMII KUJIANDAA KUKABILIANA NA MAAFA
MWANDISHI WETU, SONGEA mtwarapressclub@gmail.com Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma, Oddo killian ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari za mapema katika kukabiliana na maafa badala ya kusubiri maafa kutokea. Ametoa kauli hiyo Novemba 24, 2023 wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ayeshughulikia masuala yua Sera,…
Read More »WANACHI WA MSIMBATI WAFURAHIA UJENZI WA ZAHANATI NA KITUO CHA POLISI
MUSSA MTEPA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wananchi wa kata ya Msimbati Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, wameeleza kufurahishwa na kitendo cha serikali kuwajengea kituo cha afya,kituo cha polisi na uwekaji taa za Barabarani kwenye vijiji vinavyopatikana katika kata hiyo. Akizungumza baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini wa mikataba mitatu ya vituo…
Read More »ZIARA YA DKT. BITEKO YAANZA KUZAA MATUNDA MTWARA, TPDC WAANZA UTEKELEZAJI MAAGIZO YAKE
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa miradi Mitatu ambayo ni kituo cha Afya, kituo cha Polisi na uwekaji wa Taa za Barabarani kata ya Msimbati, halmashauri ya wilaya ya Mtwara Mkoani humo. Hafla hiyo imefanyika Novemba 24, 2023…
Read More »DC MTWARA AIPONGEZA TPA KWA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamis Munkunda, ameipongeza Mamlaka ya Bandari Tanzania –TPA, kwa kuwa mstari wa mbele katika kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo zinazokuwa zimeandaliwa Mkoani Mtwara. Mkuu huyo wa Wilaya ametoa pongezi hizo Novemba 23, 2023 wakati akihitimisha siku nne za mafunzo kwa waandishi…
Read More »KAMATI ZA MAAFA ZIJIANDAE KUKABILIANA NA ATHARI ZA ELNINO
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Kamati za Usimamizi wa Maafa ngazi za Wilaya na Mkoa, zimetakiwa kujiandaa kikamilifu kukabiliana na maafa iwapo yatajitokeza, kufuatia uwepo wa Mvua za Elnino zilizotabiriwa na Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa Nchini (TMA). Maelekezo hayo yametolewa Novemba 22, 2023 na Naibu Waziri wa Nchi…
Read More »“TUWAUNGE MKONO WATU WENYE ULEMAVU NCHINI” NAIBU WAZIRI NDERIANANGA
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga aemtoa wito kwa wadau kuendelea kuunga mkono watu wenye ulemavu nchini katika nyanja mbalimbali ikiwemo kuwapatia vifaa saidizi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma na kujiletea maendeleo yao. Ameyasema hayo Novemba 22,…
Read More »MIKOA NA HALMASHAURI ZATAKIWA KUJIANDAA KUZUIA NA KUKABILIANA NA MAAFA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Viongozi katika Mikoa na Halmashauri nchini, wametakiwa kuweka jitihada za kujiandaa kuzuia na kukabiliana na maafa hususan katika kipindi hiki cha mvua ambazo zimeanza kunyesha nchini. Maagizo hayo yametolewa Novemba 22, 2023 Mjini Mtwara na Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (sera, bunge na…
Read More »TPA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WAANDISHI WA HABARI WA MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mamlaka ya Bandari Tanzania – TPA, imeahidi kuendeleza ushirikiano uliopo baina yake na waandishi wa habari Mkoani Mtwara, ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwashirikisha katika shughuli mbalimbali zinazoandaliwa na Bandari ya Mtwara. Afisa Uhusiano Mkuu wa TPA Levina Kato, ametoa ahadi hiyo Novemba 21, 2023 wakati…
Read More »








