Habari
TPA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WAANDISHI WA HABARI WA MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mamlaka ya Bandari Tanzania β TPA, imeahidi kuendeleza ushirikiano uliopo baina yake na waandishi wa habari Mkoani Mtwara, ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwashirikisha katika shughuli mbalimbali zinazoandaliwa na Bandari ya Mtwara. Afisa Uhusiano Mkuu wa TPA Levina Kato, ametoa ahadi hiyo Novemba 21, 2023 wakati…
Read More »MTAMBO WA UMEME KUPELEKWA MKOANI MTWARA KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo III ili kuimarisha hali ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara ikiwa ni utekelezaji wa agizo alilolitoa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,…
Read More »DKT. BITEKO AIAGIZA TPDC KUANDAA MPANGO WA MUDA MREFU WA UPATIKANAJI GESI NCHINI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja na mpango wa muda mrefu utakaoonesha jinsi nchi itakavyoweza kuongeza kiasi cha gesi asilia ili muda wote kuwe na hazina ya kutosha ya…
Read More »π πππ¨π‘ππ’ π¬π MAAFISA USAFIRISHAJI YAZINDULIWA MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Novemba 20, 2023 amezindua mafunzo ya siku tano ya madereva na maafisa usafirishaji kutoka mikoa mbalimbali nchini yanayoratibiwa na Chuo Cha Taifa cha usafirishaji NIT. Kanali Abbas Akizungumza amesema mfumo wa utaoji wa mafunzo wa chuo hicho utaleta…
Read More »RC MTWARA AWATAKA WANAHABARI KUZINGATIA MIZANIA KATIKA KAZI ZAO
MUSSA MTEPA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas, amewataka Wanahabari kuzingatia weledi kwenye kuchapisha habari ikiwa ni pamoja na kutoandika habari za upande mmoja wa chanzo. Kanali Abbas ametoa rai hiyo Novemba 20, 2023 wakati wa hotuba ya uzinduzi wa Jukwaa la Habari na Mawasiliano Mkoa…
Read More »RC MTWARA AWAAGIZA MAAFISA UGANI KUGAWA MBEGU ZA UFUTA KWA WAKULIMA
MWANDISHI WETU, NANYUMBU mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbas amewaagiza viongozi na maafisa ugani kuhakiikisha kuwa mbegu za ufuta tani 10 zilizotolewa kwa wakulima na taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania Tari kituo cha Naliendele, zinagawiwa kwa wakulima walioanda mashamba pekee. Kanali Abasa ametia agizo hilo wakati…
Read More »HAKUNA KAMATA KAMATA TENA KWA WANAHABARI
MWANDISHI WETU, KATAVI mtwarapressclub@gmail.com Mabadiliko makubwa yaliyofanywa na jeshi la polisi, yameelezwa kuwa chanzo cha kupungua kwa vitendo vya ukamatwaji holela wa waandishi wa habari wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Kaster…
Read More »MZEE WA MIAKA 74 ATUHUMIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 10
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Hemed Mshamu (74) mkazi wa mtaa wa Rwelu Manispaa ya Mtwara Mikindani, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10, mwanafunzi wa darasa la Tatu shule ya msingi Rwelu. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna…
Read More »MUUNGENI MKONO SHAMSIA ANAFANYA KAZI NZURI-DKT. BITEKO
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.co Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, amewataka wakazi wa Mtwara kuondoa tofauti za vyama vya siasa na kuungana katika mambo yanayowaletea maendeleo. Dkt. Biteko amezungumza hayo leo Novemba 15, 2023 katika kijiji cha Nachenjele Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani…
Read More »DKT. BITEKO AZUIA VIFAA VYA UMEME KUNUNULIWA NJE YA NCHI
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua nje ya nchi vifaa vya umeme ambavyo vinazalishwa hapa nchini ili kukuza viwanda vya ndani vinavyozalisha vifaa hivyo, kuvipa thamani, kukuza ajira na uchumi…
Read More »









