Habari
MRADI WA UBORESHAJI WA MTO MSIMBAZI UTATATUA CHANGAMOTO ZA MIAKA 100 IJAYO
OR – TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mradi wa Uboreshaji wa Mto Msimbaza unaotegemewa kuanza hivi karibu utatatua changamoto za miaka 100 ijayo na sio baada ya miaka 10 tena tunaanza kukutana na changamoto kama hizi. Hayo yamesemwa tarehe 13.11.2023 wakati wa ziara…
Read More »BODI YA TASAC YAUNGA MKONO UJENZI WA BANDARI MPYA MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania – TASAC, wameunga mkono juhudi za kuongeza ufanisi katika Bandari ya Mtwara, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Bandari maalum ya kusafirisha mizigo michafu. Bandari hiyo maalum inatarajiwa kungwa eneo la Mgao Halmashauri ya Mtwara, lengo…
Read More »MABASI MADOGO YAREJEA STENDI YA ZAMANI MTWARA
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mabasi ya abiria yanayofanya safari ndani ya wilaya ya Mtwara na maeneo jirani, yamerejea rasmi stendi ya Zamani ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas. Mtwara Press Blog, Novemba 06, 2023 imefika katika…
Read More »AJALI YAUWA WATATU NA KUJERUHI WANNE MTWARA
SALMA MKALINALA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Watu watatu wamefariki dunia, na wengine wanne kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara ya Mtwara-Lindi mkoani Mtwara, baada ya kupata hitilafu na kisha kuigonga pikipiki. Akitoa taarifa ya ajali hiyo lOktoba 30, 2023 kaimu Kamanda wa Jeshi…
Read More »MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA KAMISHNA WA ARDHI MKOA WA NJOMBE
Munir Shemweta, WANMM NJOMBE mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdori Mpango ametembelea Banda la Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe wakati wa hafla ya kufunga Maonesho ya Nne ya Sido yanayoadhimishwa kitaifa mkoa wa Njombe. Dkt Mpango alitembelea Banda hilo…
Read More »KAMATI YA FEDHA YAFANYA UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MASASI MJI.
RABIA MUSSA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Kamati ya Fedha na Utawala Halmashauri ya Mji Masasi Oktoba 27, 2023 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi Hashim Namtumba na…
Read More »DKT MPANGO AKABIDHI HATIMILIKI ZA KIMILA MAKETE
Munir Shemweta, WANMM MAKETE mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdori Mpango amekabithi Hati ya Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe. Dkt. Mpango amekabidthi hati saba za mfano kati ya Hatimiliki za Kimila 6,883 zilizoandaliwa tarehe 27 Oktoba…
Read More »MNADA WA PILI WA KOROSHO, MAMCU YAUZA TANI EFU 12.8
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Zaidi ya Tani elfu 12 za Korosho zimeuzwa kwenye manda wa Chama kikuu cha Usiririka Masasi-Mtwara-Nanyumbu (MAMCU LTD) uiofanyika Octoa 27, 2023 katika kijiji cha Madimba Hamashauri ya Wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara. Bei iliyofikiwa na wanunuzi katika mnada huo wa pili msimu 2023/2024 uliohudhuriwa pia…
Read More »KILO 310 ZA BANGI ZACHOMWA MOTO ARUMERU
PRISCA LIBAGA, MAELEZO – ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com Shehena ya Bangi ikihusisha magunia 237 na kilo 310 za mbegu imeteketezwa kwa moto kufuatia operesheni iliyofanywa na Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi Usalama katika Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha . Ni katika…
Read More »SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 5,000 MSOMERA NDANI YA MIEZI SITA
HASSAN MABUYE, HANDENI – TANGA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema Serikali inataraji kukamilisha ujenzi wa nyumba 5,000 ambazo zimeanza kujengwa za Wakazi wa Msomera Wilayani Handeni mkoa wa Tanga waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro. Dkt. Tax ameyasema hayo…
Read More »









