Habari
CBT YAAHIDI KUTEKELEZA MAAGIZO YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU UBANGUAJI WA KOROSHO
BRYSON MSHANA, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Bodi ya Korosho Tanzania imeeleza kuwa imepokea na itayafanyia maagizo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango aliyoyatoa wakati akifungua Mkutano wa Kimataifa wa zao la korosho Octoba 11, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius…
Read More »WADAU WAPONGEZA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO
BRYSON MSHANA, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Wadau mbalimbali wa sekta ya korosho, wamepongeza maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Zao la Korosho unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku tatu unaoj umuisha zaidi ya wadau 500 kutoka nchi 33…
Read More »DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO DAR
BRYSON MSHANA, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Octoba 11, 2023 amefungua Mkutano wa Kimataifa wa Zao la Korosho unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Mkutano huo umejumuisha zaidi ya wadau…
Read More »7 WAFARIKI KWA AJALI YA BARABARANI MKOANI LINDI
HADIJA OMARY, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Watu 7 wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi lenye namba za usajili T 604 DJJ aina ya Scania mali ya kampuni ya Saibaba, lililogongana na Basi dogo aina ya Tata lenye namba za usajili T 217 DXG mali ya kampuni…
Read More »WATUMISHI TARURA WATAKIWA KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA BIDII
MWANDISHI WETU, KIGOMA mtwarapressclub@gmail.com Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amekutana na watumishi wa TARURA Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma ambapo amepokea taarifa mbalimbali za kiutendaji na kuwataka kuzingatia uadilifu na kutimiza wajibu. Mhandisi Seff ameyasema hayo alipokuwa kwenye kikao na…
Read More »WAZIRI SILAA AKERWA MFANYABIASHARA KUSUMBULIWA
Munir Shemweta, WANMM KILIMANJARO mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza mmiliki wa mgahawa unaojulikana kama Fresh Restaurant uliopo Manispaa ya Moshi asisumbuliwe na badala yake asaidiwe ili aweze kulitumia eneo lake kulingana na matumizi anayohitaji. Silaa ametoa kauli hiyo tarehe 5 Oktoba 2023 wakati…
Read More »DKT.MSONDE AWATAKA MAOFISA ELIMU KUKAMILISHA MIRADI
Angela Msimbira OR -TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde amewataka Maofisa Elimu nchini kusimamia miradi ya elimu kwa kufuata sheria, taratibu na miongozo na kutoruhusu vikwazo vya kukwamisha utendaji kazi wao. Akifunga kikao kazi cha…
Read More »WAZIRI SILAA ATOA SIKU SABA KUMALIZA KERO YA URASIMISHAJI DAR ES SALAAM
Munir Shemweta, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maedeleo ya Makazi Jerry Silaa ametoa siku saba kupatikana suluhu ya changamoto za urasimishaji makazi holela wa makazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Agizo la Waziri Silaa linafuatia mkoa wa Dar es Salaam kuwa moja ya mikoa yenye malalamiko mengi…
Read More »WAZIRI SILAA ATAKA MPANGO UENDELEZAJI ENEO LA VIWANDA KIBAHA
Munir Shemweta, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameta kuwepo mpango wa uendelezaji katika eneo la Kongani ya Viwanda (Industrial Park) lililopo Kibaha vijijini mkoa wa Pwani. Silaa ametoa kauli hiyo tarehe 4 Oktoba 2023 Mlandizi wakati alipokagua miundombinu ya Kongani ya Viwanda Kibaha…
Read More »WAZIRI MKUU AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI , MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA MIKOA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi…
Read More »








