Habari
WIZARA YA ARDHI YASHIKA NAFASI YA KWANZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
MUNIR SHEMWETA,WANMM mtwarapressclub@gmail.com Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekabidhiwa tuzo ya ushindi wa kwanza kwa upande wa kundi la Wizara iliyofanya vizuri katika kutekeleza uwezeshaji wananchi kiuchumi. Tuzo hiyo iliyotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) imekabidhiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kwa…
Read More »WIZARA YA ARDHI KUJA NA MABORESHO YA SERA YA ARDHI
MUNIR SHEMWETA, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi iko katika maboresho ya Sera ya Ardhi ili kuwa na sera itakayoleta suluhu kwenye changamoto za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa Taifa. Hayo yamebainishwa tarehe 2 Septemba 2023 na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya…
Read More »MWANDISHI MATHIAS CANAL ACHANGIA MIL 4 SHULE YA MSINGI KIOMBOI WILAYANI IRAMBA
SAMWEL MMBAGA, IRAMBA-SINGIDA mtwarapressclub@gmail.com Mwandishi wa Habari Ndg Mathias Canal amechangia madawati 30 yenye thamani ya shilingi 2,100,000, na Vitakasa mikono 20 vyenye thamani ya shilingi 1,400,000. Ametoa mchango huo tarehe 29 Septemba 2023 wakati akizungumza kwenye mahafali ya 60 ya shule ya msingi Kiomboi Bomani iliyopo katika kata ya…
Read More »WILAYA YAMUFINDI KUNUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA YA IYEGEYA- LULANDA
MWANDISHI WETU, MUFINDI mtwarapressclub@gmail.com Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Iringa, inaendelea na ujenzi wa barabara ya Iyegeya- Lulanda yenye urefu wa Km 10.4 kwa kiwango cha lami kwa kutumia Teknolojia mbadala ya ECO Roads ikiwa ni utekelezaji wa malengo ya Serikali ya kupunguza gharama za…
Read More »MIL 700 ZA RAIS SAMIA ZAMALIZA UJENZI WA DARAJA KOROFI LA KISERU WILAYANI KITETO
Mathias Canal, Kiteto-Manyara mtwarapressclub@gmail.com Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika. Daraja hilo lililopewa jina la Mama Samia Lekaita Kiseru katika Kijiji na…
Read More »KUWENI TAYARI KWA MABADILIKO-WAZIRI SILAA
Munir Shemweta, WANMM mtwaraprssclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuwa tayari kwa mabadiliko yenye lengo la kuiboresha sekta ya ardhi. Silaa amesema hayo tarehe 21 Septemba 2023 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na watumishi wa sekta ya…
Read More »VIONGOZI SHIRIKIANENI MUWAHUDUMIE WANANCHI- RAIS SAMIA
SALMA MKALIBALA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi nchini kurekebisha udhaifu wa kimahusiano uliopo baina ya viongozi mbalimbali na watendaji wa serikali ili wapeleke maendeleo kwa wananchi. Rais amesema hayo Septemba 17, 2023 wakati akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Masasi katika mkutano…
Read More »TUSITUMIE MILA NA DESTURI KUMKANDAMIZA MTOTO WA KIKE: DKT. SAMIA
SALMA MKALIBALA, MASASI mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan ameonya juu ya mila na desturi kandamizi zinazofanywa kwa watoto wa kike zinazopelekea kuwakosesha nafasi ya kupata elimu. Rais Samia amesema hayo Septemba 17, 2023 wakati akiongea na wananchi kwenye uwanja wa Boma, uliopo Halmashauri ya…
Read More »RAIS DKT. SAMIA AHIMIZA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI UJAO
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watanzania kuzingatia amani na utulivu wakati wanapojiandaa kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. Rais Dkt.Samia ametoa Rai hiyo Septemba 15, 2023 wakati akizungumza na wananchi katika…
Read More »DKT. SAMIA: TUNAJENGA SHULE KUBWA YA SAYANSI KWA AJILI YA WASICHANA MKOANI MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Serikali imeshatoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule kubwa ya wasichana Mkoani Mtwara, ambayo itakuwa maalum kwa ajili ya vipaji vya Sayansi. Dkt. Samia ameeleza hayo leo Septemba 16, 2023 wakati akizungumza…
Read More »







