Habari
DKT. SAMIA AKERWA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
BRYSON MSHANA, TANDAHIMBA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema anasubiri taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ili achukuwe hatua kubwa zaidi juu ya wanaohusika na matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa miradi ya vituo vya afya wilayani Tandahimba.…
Read More »TRILIONI 6.5 ZATEKELEZA MIRADI YA TAMISEMI
Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi yake imepokea zaidi ya shilingi Trilion 6.5 ambazo zimepelekwa moja kwa moja kwa watanzania kutekeleza miradi mbalimbali ya kipaumbele katika sekta ya Elimu, Afya na maendeleo ya Miundombinu.…
Read More »TANESCO YATAKIWA KUBORESHA UPATIKANAJI UMEME MTWARA NA LINDI
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri wa wizara ya nishati, Judith Kapinga amelihimiza Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania – TANESCO kufanya jitihada mbalimbali kuhakikisha mikoa ya Mtwara na Lindi inapata umeme wa kutosha. Naibu Waziri Kapinga ameyasema hayo tarehe 14/09/2023 wakati alipotembelea Kituo cha Kuzalisha Umeme kwa kutumia Gesi…
Read More »RAIS SAMIA KUWASILI MTWARA SEPTEMBA 14, 2023
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara katika Mkoa wa Mtwara kuanzia tarehe 14 mpaka 17 mwezi septemba 2023. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas wakati akizungumza na waandishi wa Habari ofisini Kwake leo…
Read More »WAKAGUZI WA JESHI LA POLISI WAHITIMU MAFUNZO YA UTAYARI MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara wametakiwa kuwatumikia wananchi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto za kiusalama zinazowakabili katika maeneo yao. Kauli hiyo imetolewa na ACP-MTAKI.N.KURWIJILA ambaye alimuakilisha kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara N.S.KATEMBO-ACP katika kufunga mafunzo ya utayari awamu ya pili yaliyo…
Read More »MTWARA YAZINDUA MRADI WA PJT-MMMAM
GREGORY MILANZI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Mtwara umezindua Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto (PJT-MMMAM), program inalenga maeneo makuu 5 ambayo ni Afya bora,lishe, Malezi yenye mwitikio, Fursa za ujifunzaji wa awali na Ulinzi na usalama kwa watoto kuanzia umri wa miaka 0…
Read More »NHC YATAKIWA KUTILIA MKAZO UKUSANYAJI MADENI
Munir Shemweta, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii imelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha linatilia mkazo ukusanyaji madeni ya wapangaji katika nyumba zake. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Timetheo Mnzava amesema, pamoja na shirika hilo kujitahidi katika ukusanyaji malimbikizo ya kodi za wapangaji wake…
Read More »TANZANIA TO HOST THE FOURTH REGIONAL CONFERENCE ON LAND RIGHTS
HAIKA KIMARO mtwarapressclub@gmail.com Dar es Salaam. The Ministry of Land, Housing and Human Settlements Development is expected to host the fourth regional conference of National Land Institutions for Community Rights in Africa to be held in Arusha in September. Initiated by Rights and Resources Initiative (RRI) and co-organized with the…
Read More »RAIS SAMIA ANATAMBUA UMUHIMU WA KUKUZA KILIMO ENDELEVU NCHINI-RC MTWARA
BRYSON MSHANA, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan anatambua umuhimu wa Kilimo endelevu nchini ndio maana mekuwa akitoa fedha kwa taasisi za utafiti wa kilimo Nchini. Kanal Abbas ametoa kauli hiyo Agusti 06,…
Read More »SOKO LA UHAKIKA LAZIDI KUWAVUTIA WAKULIMA WA UFUTA MIKOA YA KUSINI
BRYSON MSHANA, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Wananchi katika Mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma wamekuwa wakihamasika kulima zao la ufuta kwenye maeneo mbalimbali, hali inayoelezwa kuwa inatokana na kuimarika kwa bei ya soko ya zao hilo katika masoko ya vyakula Duniani. Muamko huu wa Wakulima kuanza kutumia utaalamu katika kilimo cha ufuta…
Read More »









