Habari
MTWARA NA LINDI ZAPONGEZWA MAANDALIZI YA NANENANE 2023.
BRYSON MSHANA, LINDI www.mtwarapressblog.co.tz Mikoa ya Mtwara na Lindi imepongezwa kwa maandalizi mazuri ya Maonesho ya Wakulima na wafugaji, Nane nane Kanda ya Kusini, yaliyofunguliwa rasmi tare 1 Agusti 2023 kwenye viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne…
Read More »DC MWANZIVA AWASILI MBEYA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANENANE 2023
MWANDISHI WETU, MBEYA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amewasili Jijini Mbeya kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya Kilimo – Nane Nane 2023 yanatarajiwa kufunguliwa rasmi Tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale. Ufunguzi huo wa kitaifa unatarajiwa kuongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…
Read More »RC MTWARA – MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KWENYE ZAO LA MBAAZI NI KWA AJILI YA KUMNUFAISHA MKULIMA
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Amamed Abbas, amesema kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani utakaotumika kwenye ununuzi wa zao la Mbaazi msimu 2023/2024 unalenga kumnufaisha mkulima kupata soko la uhakika. Kanali Abbas amesema hayo wakati akifungua kikao cha wadau wa mazao ya mbaazi mkoa wa mtwara,…
Read More »KANALI ABBAS AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANENANE 2023 KANDA YA KUSINI
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmedi Abbas Ahmedi, amekutana na waandishi wa habari Ofini kwake leo Julai 27, 2023 kwa ajili ya kutoa taarifa ya maandalizi ya maonesho ya nanenane Kanda ya Kusini yanayotarajiwa kuanza rasmi Agusti 01, 2023 kwenye viwanja vya Ngongo vilivyopo Manispaa…
Read More »WANANCHI WANUFAIKA NA UJENZI NA UKARABATI WA BARABARA
James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI) www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amesema wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Mbiga watanufaika na ujenzi pamoja na ukarabati barabara unaofanywa na Serikali kupitia fedha za Mradi wa Uboreshaji Miundombinu katika Miji (TACTIC), AGRI-CONNECT na zilizotengwa kwenye…
Read More »RAIS SAMIA ARIDHIA HEKTA 18,031 KUTOLEWA KWA WANANCHI RUTORO
Munir Shemweta, WANMM MULEBA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kumegwa eneo la Ranchi ya Kagoma iliyopo wilaya ya Muleba DC na Karagwe mkoani Kagera, yenye ukubwa wa hekta 18,031.26 kwenda kwa wananchi kuendelea na shughuli mbalimbali za kibinadamu ikiwemo makazi. Hayo yamebainishwa tarehe 20…
Read More »MIEZI MITATU MRADI WA MAJI WA MUGANGO-KIABAKARI BUTIAMA UKAMILIKE
MWANDISHI WETU, BUNDA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anaetekeleza mradi wa maji wa Mugango-Kiabakari-Butiama ambaye ni Kampuni ya Unik Construction Engineering (UNIK) kukamilisha mradi huo kwasababu mpaka sasa wapo nyuma ya muda katika utekelezaji. Mhandisi Luhemeja ametoa maagizo hayo akiwa…
Read More »BUNDA WAHAKIKISHIWA MAJI SAFI NA SALAMA
MWANDISHI WETU, BUNDA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Cyprian Luhemeja amezungumza na wakazi wa mtaa wa Nyantare kata ya Guta na kuwatangazia neema ya majisafi katika makazi yao. Mhandisi Luhemeja akiwa mkoani Mara amewaambia kuwa lengo la Serikali ifikapo mwaka 2025 ni kuwa kata zote 14 za…
Read More »RAIS SAMIA AMETOA FEDHA KUJENGA SHULE MPYA MAALUM ZA WASICHANA KILA MKOA: DKT. MSONDE
OR -TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde amesema Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imetoa fedha za kujenga Shule mpya maalum za Sekondari za Bweni na sayansi kwa ajili ya wanafunzi wa kike katika mikoa yote nchini. Dkt. Msonde…
Read More »MAHUJAJI WAREJEA KUTOKA MAKKAH
MUSSA MTEPA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Waislamu nchini wametakiwa kuishi katika misingi ya kumpendeza Mwenyezi Mungu na kuachana na vitendo vinavyoweza kumkasirisha. Wito huo umetolewa Mjini mtwara Julai 15, 2023, na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Prof Al Haji Nurdin Abdala Mangochi, wakati akizungumza mara baada ya kurejea kutokea Makkah katika…
Read More »









