Habari
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Korosho utakaohusisha nchi 33 zinazolima zao la Korosho Duniani. Mkutano huo ulioandaliwa na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT unatarajiwa kufanyika Tarehe 11 October 2023 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa JNICC Jijini Dar es Salaam, ambapo…
Read More »WAZIRI MABULA ASHIRIKI MKUTANO WA KAMISHENI YA BONDE LA MTO SONGWE
Munir Shemweta, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameshiriki Mkutano wa Pili wa Baraza la Mawaziri wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe uliofanyika leo tarehe 13 Julai 2023 Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku moja unaoongozwa na Waziri wa Maji…
Read More »NG’OMBE 800 WAKAMATWA WILAYANI TUNDURU.
MWANDISHI WETU, TUNDURU mtwarapressclub@gmail.com MKUU wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amesema,wamekamata zaidi ya ng’omba 800 waliovamia mashamba na kuharibu mazao ya wakulima katika maeneo mbalimbali wilayani humo. Amesema,ng’ombe hao wamekamatwa kutokana na doria na operesheni kubwa inayoendelea ya kuwaondoa wafugaji wote wanaofanya shughuli za ufugaji na kuingiza mifugo kwenye…
Read More »WANAFUNZI SHULE MPYA ZA SEKONDARI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII
JAMES MWANAMNYOTO, (OR-TAMISEMI) mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amewataka wanafunzi wa shule mpya za sekondari zilizojengwa kupitia mradi wa SEQUIP kuhakikisha wanasoma kwa bidii ili kupata ufaulu mzuri katika mtihani wa kidato cha nne. Ndejembi ametoa wito huo Tarehe 12…
Read More »SEMINA YA UONGOZI NA UCHUMI KWA MAIMAMU NA WALIMU WA MADRASA
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Joel Nanauka Foundation pamoja na Taasisi ya Africa Success Academy kwa Kushirikiana na Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA )Mkoa wa Mtwara, wameendesha Semina ya Uongozi na Uchumi ikiwakutanisha Maimamu pamoja na Walimu wa Madrasa wakike na wakiume. Semina hio imefanyika julai 12 katika…
Read More »DC MSABAHA ATAKA KASI IONGEZWE UJENZI MIRADI YA BOOST
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Hanafi Msabaha amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo yanayojengwa kwa fedha za BOOST kwenye Shule za Msingi nane zilizopo Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Ukaguzi huo ameufanya Julai 12, 2023 na kuwataka walimu, wasimamizi wa…
Read More »SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA MAENDELEO
Peter Haule, WFM, Dodoma. mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi Jenifa Omolo, amewaasa Watakwimu nchini kuchambua, kutafsiri na kutumia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika kupanga, kufuatilia na kutathmini utekekelezaji mipango na programu mbalimbali za maendeleo ili kufikia uchumi wa viwanda. Amesema hayo…
Read More »UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KUFANYIKA JULAI 13, 2023
BRYSON MSHANA – DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 13 za Tanzania Bara kesho Julai 13,2023. Jumla ya wapiga kura 74,642 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huu…
Read More »TUMIENI MRADI WA UBORESHAJI USALAMA WA MILKI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI – WAZIRI DKT MABULA
Munir Shemweta, WANMM LONGIDO mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka wananchi wa wilaya ya Longido mkoani Arusha kutumia fursa ya Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi nchini kutatua migogoro ya ardhi iliyodumu kwa muda mrefu katika halmashauri hiyo. Dkt Mabula ametoa…
Read More »KASI NDOGO YA UJENZI WA SHULE MPYA NA MADARASA IRINGA HAIMFURAHISHI DKT. MSONDE
OR TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Dkt. Charles Msonde amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa shule mpya na madarasa ya shule za msingi na awali kupitia mradi wa BOOST katika halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Dkt. Msonde amesema…
Read More »









