Habari
SERIKALI YATOA SH. BILIONI 208 KUJENGA SEKONDARI MPYA NCHINI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Serikali imetoa zaidi ya sh. bilioni 208 ili zitumike kujenga shule mpya za sekondari kwenye Halmashauri zote hapa nchini ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani. Hayo yamesemwa Julai 8, 2023) na Naibu Waziri (OR-TAMISEMI), Deogratius Ndejembi alipopewa nafasi na Waziri Mkuu,…
Read More »DK.MWINYI AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MAADHIMISHO YA KISWAHILI DUNIANI
MWANDISHI WETU, ZANZIBAR mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Mkoa wa Mjini Magharibi…
Read More »DKT MABULA AHAMASISHA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI
Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula akihutubia wananchi wa kata ya Kayenze katika viwanja vya shule ya msingi Kayenze wakati wa ziara yake MWANDISHI WETU, MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni Waziri wa wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi MNEC Mhe…
Read More »TARURA YAZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekua sehemu ya Taasisi zilizozindua mkataba wa Huduma kwa Mteja ili kuwezesha wananchi kuwa na uelewa juu ya huduma zinazotolewa na Wakala lakini pia namna ya kupata haki na huduma mbalimbali. Akizindua mikataba ya Huduma kwa Mteja ya…
Read More »BAADHI YA MILA NA DESTURI ZINAKWAMISHA WANAWAKE KUGOMBEA UONGOZI
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mtoa Mada kutoka katika Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Deogratius Temba amesema Mila na Desturi za Unyago, inakwamisha baadhi ya wanawake walio wengi hasa kwa upande wa Kusini kushiriki katika masuala ya uongozi. Amezungumza hayo Juni 20 wakati wa kufunga Mafunzo ya kujengewa uwezo juu ya…
Read More »WAKULIMA NAMTUMBO WASHINDA FEDHA NA PIKIPIKI ZA NMB
AlBANO MIDELO,NAMTUMBO BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Bonge la Mpango Mchongo wa kilimo katika Kanda ya Kusini ambapo wakulima watano na Chama kimoja cha Ushirika cha Msingi (AMCOS) wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wameshinda. Uzinduzi huo katika Kanda ya Kusini ulifanyika jana katika soko kuu la mjini Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo…
Read More »MABORESHO MAKUBWA YAJA NDANI YA JESHI LA POLISI
Mwandishi Wetu,Dar es Salaam mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameweka wazi baadhi ya maeneo ambayo wizara imepanga kuyafanyia maboresho makubwa ili kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilivyopo chini ya wizara hiyo. Ameeleza adhma hiyo baada ya kumaliza kutoa…
Read More »WAOMBAJI 18,449 WAPANGIWA VITUO VYA KAZI AJIRA MPYA
OR – TAMISEMI, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki ametangaza waombaji 18,449 wa ajira mpya waliochanguliwa na kupangiwa vituo vya kazi katika kada ya ualimu na afya huku akitoa maelekezo nane mahsusi. Kairuki akizungumza Juni 5, 2023 jijini Dodoma kuhusu ajira…
Read More »DKT. MSONDE ATOA SIKU SABA MADENI YOTE YA WALIMU KUBAINISHWA.
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayesimamia elimu, Dkt. Charles Msonde ameagiza Maafisa Elimu wa Wilaya nchini kubainisha madeni yote ya Waalimu na kuyawasilisha Ofisi ya Rais TAMISEMI. Dkt. Msonde ameeleza hayo tarehe 04 June 2023 wakati akifungua kikao kazi cha Maafisa Elimu wa Wilaya…
Read More »TASAF YAMKOMBOA MTOTO WA KIKE RUFIJI KUPITIA SEKONDARI YA SAMIA
MWANDISHI WETU, KIBITI mtwarapressclub@gmail.com Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imefanikiwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Samia yenye madarasa manne na matundu nane ya vyoo katika Kata ya Mgomba baada ya kupewa fedha Shillingi milioni 149, 675, 300 na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Akitoa taarifa ya…
Read More »









