Habari
WAZAZI KARATU WATAKIWA KUKAA KARIBU NA WATOTO WAO
MWANDISHI WETU, KARATU mtwarapressclub@gmail.com Wazazi na Walezi wilayani KARATU mkoani Arusha wametakiwa kukaa karibu na watoto wao katika kipindi hichi Cha likizo ili kupunguza vitendo vya kikatili dhidi yao. Kauli hiyo imetolewa na Afisa maendeleo ya jamii bi Adelaida Shauri wakati akizungumza na baadhi ya wenyeviti wa vitongoji waliokuwa katika…
Read More »TANZANIA, KENYA ZASAINI MAKUBALIANO KUENDELEA NA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA
Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Tanzania na Kenya zimesaini Hati ya Makubaliano Mpango Kazi wa utekelezaji wa kuendelea na kazi ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo kipande cha awamu ya tatu kutoka Namanga mkoani Arusha hadi Tarakea, Kilimanjaro wenye urefu wa km 110. Hatua hiyo inafuatia kikao cha…
Read More »MABARAZA YA WAZEE YAZINGATIE VIPAUMBELE
WMJJWM, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amelitaka Baraza la Ushauri la Wazee kuzingatia malengo ya Baraza hilo ambalo ni kujadili masuala mbalimbali yanayowahusu na kuweka mikakati ya kutatua changamoto zinazo wakabili ili Kuchochea maadili mema, uzalendo na ushiriki katika shughuli…
Read More »UNESCO KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA MISA-TAN
MWNDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com TUME ya Taifa ya UNESCO, imeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara Tawi la Tanzania (MISA-Tanzania), katika kuhamasisha uhuru wa kujieleza, uhuru wa habari na upatikanaji habari. Mwakilishi wa Tume ya Taifa ya UNESCO Festo Suzubeki, amebainisha hayo Mei…
Read More »NAIBU WAZIRI PINDA ATAKA UWAJIBAKAJI UNAOZINGATIA SHERIA SEKTA YA ARDHI
Munir Shemweta, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Naibu waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amesema watumishi wa sekta ya ardhi nchini wanao wajibu katika utendaji kazi na dhana nzima ya kuongeza ufanisi na tija kwa kuzingatia sheria. Pinda aliyekuwa akimuwakilisha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleio ya Makazi Dkt…
Read More »DONALD TRUMP APATIKANA NA HATIA YA UNYANYASAJI WA KINGONO
mtwarapressclub@gmail.com Jopo la majaji katika kesi ya madai limempata Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump n ahatia ya kumnyanyasa kingono mwandishi wa jarida katika duka moja kuu la New York miaka ya 1990. Hii ni mara ya kwanza kwa Bw Trump kupatikana na hatia ya kuhusika na unyanyasaji wa…
Read More »WAZIRI DKT MABULA ATAKA WANANCHI TARIME KUACHA KUISHI KWA MAZOEA NA KUFUATA SHERIA
Munir Shemweta, WANMM TARIME mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wananchi wa Kegonga na Karakatonga wilayani Tarime mkoa wa Mara kuacha kuishi kwa mazoea na kufuata sheria ili kuepuka migogoro baina ya vijiji hivyo na maeneo ya hifadhi. Dkt Mabula amesema hayo tarehe…
Read More »NVeP NA BARRICK WASAIDIA SHULE YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM
MWANDISHI WETU, SHINYANGA mtwarapressclub@gmail.com Shirika la ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick,wametoa msaada wa dola za Kimarekani 10,000 kwa shule ya msingi ya watoto wenye mahitaji maalum ya Buhangija iliyopo mkoani Shinyanga kwa ajili ya kuboresha mazingira ya kusomea ya wanafunzi wa shule hiyo.…
Read More »UBUNIFU UNACHOCHEA KASI YA MAENDELEO YA UCHUMI NCHINI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,imesema masuala ya sayansi, teknolojia na ubunifu yanachochea kwa kasi maendeleo ya uchumi nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda katika Kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara hiyo yaliyomalizaka…
Read More »RAIS KAGAME AKUTANA RAIS SAMIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023. Rais wa Rwanda Mhe. Kagame amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya Kikazi ya…
Read More »









