Habari
WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoani Mtwara, wametakiwa kushirikiana na Uongozi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, ili kuhamasisha unasajli wa wasichana wengi waliokatisha masomo ya sekondari ukilinganisha na mwaka huu. Akifungua mafunzo ya siku nne kwa walimu wa masomo ya sayansi wanaotokea katika vituo…
Read More »MKE WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwasalimia baadhi ya Watoto katika Kituo cha Watoto wenye maambukizo ya HIV Kwarara Wilaya ya Magharibi “B” alipofika kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana(katikati) Waziri wa…
Read More »MBEGU ZA KARANGA ZA MAJARIBIO KIGOMA ZAVUTIA WAKULIMA
MWANDISHI WETU, KIGOMA mtwarapressclub@gmail.com Mbegu za majaribio za zao la karanga zilizopelekwa mkoani kigoma zimewavutia wakulima wengi kutokana na uotaji wake ambao umeonyesha kutokuwa na magonjwa na kustahilimi ukame. Akizungumza na watafiti wa zao hilo hivi karibuni, Asia Nobela Mkulima wa Karanga kutoka katika kijiji cha Mahembe halmashauri ya wilaya…
Read More »WAZIRI MABULA ATAKA MAAFISA KUWAFUATA WANANCHI MITAANI KUTOA HUDUMA ZA ARDHI
HASSAN MABUYE, DODOM mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka maafisa wa sekta ya ardhi nchini kuwafuata na kuwahudumia wananchi katika mitaa yao ili kutoa huduma za ardhi kwa ufanisi. Waziri Mabula ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza tarehe 20 Aprili 2023 katika…
Read More »ZINGATIENI MASHARTI YA HATI MILKI ZA ARDHI-DKT MABULA
Munir Shemweta, WANMM MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati milki za ardhi kuhakikisha wanazingatia masharti yaliyopo kwenye hati sambamba na kufuata mipango kabambe ya maeneo husika. Dkt Mabula amesema hayo tarehe 17 April 2023 katika eneo la Shibula wilayani…
Read More »UTAFITI SHIRIKISHI WA KARANGA WAONGEZA HAMASA YA ULIMAJI WA MBEGU BORA TABORA
MWANDISHI WETU, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Wakulima wa zao la Karanga katika Wilaya za Uyui na Urambo Mkoani Tabora wameridhishwa na tafiti shirikishi zinazotolewa kwao na watafiti wa zao hilo kutoka Tasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania Tari Kituo cha Naliendele Mtwara kupitia mashamba darasa yaliyoanzishwa na kituo hicho katika kata hiyo.…
Read More »JKT YATAJA MKAKATI WA KUZALISHA MBEGU BORA ZA ALIZETI NCHINI
Alex Sonna-CHAMWINO mtwarapressclub@gmail.com KATIKA kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mafuta ya kula nchini,Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limejipanga kuzalisha kwa wingi mazao ya mafuta kama alizeti na michikichi na kuhakikisha wanaongeza upatikanaji wa mbegu bora za maza0. Hayo yameelezwa leo Aprili 17,2023 Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma na Mkuu wa…
Read More »WAZIRI MKUU ATAKA VIONGOZI WA DINI KUSIMAMIA HAKI NA KUTUNZA AMANI
Munir Shemweta, WANMM MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amewataka viongozi wa dini nchini kuhakikisha wasimamia haki na kuienzi na kusimamia amani kwa manufaa ya wananchi wa sasa na vizazi vijavyo. “Niwasihi sana ninyi viongozi wetu wa dini kutukumbusha mara kwa mara sisi, waumini…
Read More »MAAFISA WANAOSABABISHA MIGOGORO YA ARDHI WAONYWA
HASSAN MBUYE, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amewataka maafisa wa sekta ya ardhi kumaliza kero na migogoro ya ardhi ya wananchi katika maeneo kuanzia ngazi za chini kabla ya kufika ngazi za Wilaya, Mikoa na Taifa. Naibu Waziri Pinda amesema hayo…
Read More »SHEREHE ZA MUUNGANO KUFANYIKA KATIKA NGAZI YA MIKOA
MWANDISHI WETU, ZANZIBAR mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza maadhimisho sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yafanyike katika ngazi ya mikoa kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aprili 15, 2023…
Read More »








