Habari
RAIS SAMIA ARIDHIA MSAMAHA WA BILIONI 21.3 ZA RIBA YA MALIMBIKIZO YA KODI YA ARDHI
Munir Shemweta, WANMM MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Katika kinachoonekana kuwajali wananchi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia msamaha wa riba ya malimbikizo ya kodi la pango la ardhi ya shilingi Bilioni 21.3 kwa wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi. Kufuatia msamaha huo, Wizara ya…
Read More »MWENDENDO WA BEI ZA BIDHAA MUHIMU APRILI 2023
ALEX SONA, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com WIZARA ya Uwekezaji Viwanda na Biashara imetoa mwendendo wa bei za bidhaa muhimu nchini kwa Mwezi Aprili 2023, huku,mchele,mahindi,unga wa mahindi,maharage vikipungua bei na vifaa vya ujenzi vikiendelea kuonesha uhimilivu kwa kutokuwa na mabadiliko. Pia imesema inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa…
Read More »WAZIRI MKUU: SHERIA ZA TANZANIA ZINAKATAZA VITENDO VYA ULAWITI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sheria za Tanzania zinakataza bayana vitendo vinavyokinzana na tamaduni, mila na desturi na zimeweka adhabu mbalimbali kwa makosa ya namna hiyo na yale ya udhalilishaji kwa watoto ikiwemo ulawiti. “Ninapenda kuliarifu Bunge lako kuwa sheria zetu hapa nchini, zinakataza bayana vitendo hivyo…
Read More »BILIONI 17 KUJENGA MIRADI 66 YA MAJI MKOANI MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com WIZARA ya maji kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imepanga kutumia zaidi ya Sh.bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa miradi 66 ya maji mkoani Mtwara. Meneja wa Ruwasa mkoani hapa Mhandisi Primy Damas amesema kati ya miradi hiyo 34 ya kukam lisha na miradi 32 ni mipya na imeanza kutekelezwa katika wilaya zote za mkoa…
Read More »DK. NDUMBARO APOKEA RIPOTI MAALUM YA MAPITIO YA SHERIA
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Wizara, Taasisi za Umma kuitumia Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania ili kuondokana na changamoto ya kufanya marekebisho ya sheria mara kwa mara. Waziri Ndumbaro ametoa wito huo Mei 12, 2023 Jijini Dodoma wakati akipokea ripoti…
Read More »DKT. MPANGO AWASIHI WATANZANIA KUTAFAKARI MMOMONYOKO WA MAADILI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasalimu waumini waliohudhuria Ibada ya kawaida ya asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Fransisco Nzavery -Nyakahoja Jijini Mwanza tarehe 12 Aprili 2023. OFISI YA MAKAMU WA RAISA, MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…
Read More »BILI ZA KODI YA ARDHI SASA KUPITIA SIMU YA MKONONI
Munir Shemweta, WANMM MWANZA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wamiliki wa ardhi nchini hivi karibu wataanza kupokea bili za kodi ya pango la ardhi kupitia simu ya mkononi. Dkt Mabula amesema hayo tarehe 11 April 2023 wakati Makamu wa Rais Dkt philip…
Read More »WATAKAOTHIBITIKA KUFANYA UBARIRIFU WATASHUGHULIKIWA. DKT. MPANGO
OFISI YA MAKAMU WA RAIS mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika kufanya ubadhirifu wa fedha za umma waliotajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliotolewa hivi karibuni. Makamu wa Rais…
Read More »Dk. MWINYI AWAPA POLE WALIOFIKWA NA MAAFA KASKAZINI UNGUJA
MWANDISHI WETU, ZANZIBAR mtwarapressclub@gmail.com Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametoa pole kwa familia zilizoathiriwa na maafa yaliyotokana na upepo katika shehia sita za Mkoa wa Kaskazini Unguja. Maaafa hayo yaliyotokea kati ya Aprili 1 na 7 mwaka huu, yalileta madhara kwa makaazi ya wananchi na majengo ya…
Read More »TARI-DAKAWA KUONGEZA UZALISHAJI MBEGU ZA MPUNGA
Jacquiline Mrisho – MAELEZO mtwarapressclub@gmail.com Kutokana na kuongezeka kwa bajeti ya kilimo katika eneo la utafiti kutoka Shilingi bilioni 11.5 hadi Shilingi bilioni 40.7 kwa mwaka wa fedha 2022/23, TARI-Dakawa kwa msimu huu wa kilimo, inatarajia kuzalisha tani 150 za mbegu za zao la mpunga kutoka tani 104 zilizozalishwa msimu…
Read More »









