Habari
DKT FELESHI ATAKA USHIRIKIANO KUKABILIANA NA MMOMONYOKO WA MAADILI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Eliezer Feleshi ametaka kuwepo ushirikiano baina ya serikali na wadau zikiwemo taasisi za dini katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili nchini. Aidha, ameeleza kuwa, viongozi wa dini nao wanao wajibu na mchango mkubwa wa kukemea mmomonyoko wa maadili pamoja na makosa…
Read More »TARI-DAKAWA YAPATIWA MILIONI 30 KUSAFISHA MBEGU ZA ASILI ZA MPUNGA
Meneja TARI – Kituo cha Dakawa, Dkt. Jerome Mghase Jacquiline Mrisho – MAELEZO mtwarapressclub@gmail.com Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19, imeipatia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Dakawa jumla ya Shilingi milioni 30 kwa ajili ya kusafisha mbegu za asili…
Read More »WIZARA YA ARDHI YAFUTURISHA WATUMISHI WAKE
Munir Shemweta, WANMM mtwarapressclub@gmail.com Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewafuturisha watumishi wake waliopo Wizarani na ofisi ya Kmishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dodoma. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula na Naibu wake Geofrey Pinda waliwaongoza viongozi wa wizara hiyo kujumuika na…
Read More »WAKUU WA MIKOA WAPIGWA MSASA BIASHARA YA HEWA UKAA
OR-TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com WAKUU wa mikoa yote Tanzania Bara wamepewa elimu juu ya biashara ya hewa ukaa nchini ambayo itasaidia kuongeza mapato na kuimarisha utoaji wa huduma kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa. Hayo yameelezwa Aprili 3, 2023 jijini Dodoma katika kikao cha pamoja kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Read More »DKT. MPANGO AZINDUA MCHAKATO WA MAANDALIZI YA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kionesha kitabu cha Muongozo wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, baada ya kuzindua mchakato huo, akishudiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(katikati), na Katibu Mkuu wa Wizara…
Read More »WAKULIMA WA UFUTA MKURANGA WAIPONGEZA TARI KWAKUPA MBEGU BORA
MWANDSIHI WETU, PWANI mtwarapressclub@gmail.com Wakulima wa Zao la Ufuta Kata ya Nyamato Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani wameipongeza taasisi ya utafiti wa kilimo Tanznaia TARI Naliendele kwa kuwwapatia mbegu bora zinazostahimili ukame hali ambayo imepelekea ufuga kumea vizuri katika mashamba yao licha ya kuwa na uhaba wa mvua. Akizungumza katika mashamba…
Read More »MAJALIWA AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA, MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, Aprili Mosi, 2023. Akizungumza katika uzinduzi huo, Waziri mkuu amewataka Wakuu wa Mikoa 12 nchini wachukue hatua stahiki kutatua tatizo la udumavu uliozidi wastani wa kitaifa…
Read More »PROF. NDALICHAKO AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Mtwara wakati akikagua maandalizi ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2023 katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mkoani Mtwara. Waziri wa Nchi…
Read More »NAIBU WAZIRI PINDA AWATAKA WANANCHI KUEPUKA KESI ZISIZO ZA LAZIMA
HASSAN MABUYE, Katavi mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewataka wananchi kuepuka kesi na mashitaka yasiyo ya lazima yanayowasilishwa katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya Naibu Waziri Pinda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara mkoani Katavi ya uzinduzi wa Baraza la Ardhi na…
Read More »TANZANIA YAKABILIWA NA UHABA WA MABAHARIA VIJANA.
MWANDISI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Imeelezwa kuwa muamko mdogo wa vijana katika fani ya ubaharia ndio chanzo kinachopelekea taifa la Tanzania kutokuwa na Mabaharia Vijana wa kutosha. Hayo yamebainishwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam na mkurugenzi wa huduma za Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Rajabu Mabamba…
Read More »









