Habari
MASHAMBA DARASA YA UFUTA YATUMIKA KUELIMISHA WAKULIMANEWALA
MWANDSIHI WETU, NEWALA mtwarapressclub@gmail.com Wakulima Wilayani Newala wahamasika kulima zao la ufuta baada ya kupewa mbegu bora kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania TARI Naliendele huku kila kata ikipatiwa mbegu na kuwekwa shamba darasa. Akizungumza katika shamba darasa la kata ya Nambali Wilayani Newala Afisa Kilimo wa Kata hiyo …
Read More »WAZIRI MKUU AWASILI SHINYANGA AKIWA NJIANI KWENDA SIMIYU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na vionghozi wa Mkoa wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Ibadakuli mkoani Shinyanga akiwa njiani kwenda Bariadi mkoani Simiyu ambako atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, Machi 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu,…
Read More »SHULE SHIKIZI ZAWA SULUHISHO WATOTO KUTEMBEA UMBALI MREFU
Afisa elimu Msingi katika Manispaa ya Singida, Omary Maje akiwa kwenye moja ya vikao vyake kuelezea umuhimu wa Shule Shikizi ABBY NKUNGU, SINGIDA mtwarapressclub@gmail.com KUANZISHWA kwa shule shikizi tisa katika Manispaa ya Singida kumetajwa kuwa ni mwarobaini kwa watoto walio chini ya miaka minane kutembea umbali wa zaidi ya…
Read More »MSOMERA KUWA KIJIJI CHA MFANO- WAZIRI MABULA
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Albert Msando akizungumza wakati Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula alipokwenda kukabidhi hati milki za ardhi kwa wananchi wa kijiji cha Msomera wilayani humo. Sehemu ya wananchi wa kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoa wa Tanga waliojitokeza…
Read More »CCM ZANZIBAR YAVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI NCHINI
KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis(kulia),akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Televisheni mtandao cha Al-fatah TV Rashid Saleh huko hapo Amani msikitini katika ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari. KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na…
Read More »‘HAKUNA MTU ANAYEPASWA KUACHWA NYUMA KWASABABU YA UKOSEFU WA MAJI’
Source, Michuzi TV mtwarapressclub@gmail.com SHIRIKA la WaterAid Tanzania imeendelea kusisitiza umuhimu wa usimamizi na uendelevu wa rasilimali zetu za thamani za maji na watoa maamuzi kuchukua hatua katika kukabiliana na tatizo la maji duniani. Kauli hiyo imekuja wakati Machi 22, 2023 Dunia ikiadhimisha Siku ya Maji Duniani na kauli…
Read More »WAZIRI MABULA AZINDUA KITABU CHA BUILDING THE JUST CITY IN TANZANIA
MUNIR SHEMWETA, WANMM www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua kitabu kinachojulikana kwa jina la Bulding the Just City in Tanzania: Essays on Urban Housing kilichoandaliwa na taasisi ya Friedrich-Ebert-Stiftng (FES). Kitabu hicho ambacho ni mkusanyiko wa insha zenye maudhui yaliyobeba jumbe mbalimbali zinazotoa…
Read More »SERIKALI YAELEKEZA KIWANDA KUTATUA CHANGAMOTO YA KIMAZINGIRA
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ameelekeza kiwanda cha nguo cha A to Z kilichpo mkoani Arusha kikamilishe ujenzi wa mtambo wa kutibu majitaka ndani ya miezi miwili. Ametoa maelekezo hayo Machi 21, 2023 alipofanya ziara ya kukagua na…
Read More »WASIORUDISHA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUCHUKULIWA HATUA ACHINGWEA
MWANDISHI WETU, NACHINGWEA www.mtwarapressblog.co.tz Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea Mkoani Liondi Adinani Mpyagila ametangaza kuchukuliwa hatua kwa vikundi vyote ambavyo vimekuwa havirudishi mikopo ya asilimia 10 wanayokopeshwa na Halmashauri hiyo kwa mujibu wa sheria za nchi. Akizungumza wakati wa ziara ya kamati ya LAAC wilayani Nachingwea Machi 20,…
Read More »EFTA, CRDB WAJA NA MKAKATI KUSAIDIA SEKTA YA KILIMO NCHINI
MWADISHI WETU, MANYARA www.mtwarapressblog.co.tz Katika kuhakikisha wakulima nchini wanalima kwa kutumia zana za kilimo za kisasa na zinakazochochea ufanisi katika uzalishaji wa mazao ya aina mbalimbali ya kilimo na kuwa na hazina ya kutosha ya chakula taasisi ya EFTA na benki ya CRDB waja na mkakati kuwasaidia wakulima. Hayo yamebainika…
Read More »









