Habari
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MATANO KUKITANGAZA KISWAHILI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza KATIKA kongamano la idhaa za kiswahili Kikwajuni Zanzibar Machi 19, 2023 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari katika kongamano la idhaa za kiswahili Kikwajuni Zanzibar Machi 19, 2023 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa KATIKA picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa idhaa za…
Read More »DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohamed Mussa, alipowasili katika viwanja vya…
Read More »WAKUU WA WILAYA LINDENI KIZAZI CHA KITANZANIA- WAZIRI DKT. GWAJIMA.
WMJJWM, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Rai Imetolewa kwa Wakuu wa Wilaya nchini kuwa mstari wa mbele kubaini na kuibua mienendo isiyofaa ndani ya jamii ikiwemo vitendo vya ukatili na ukiukwaji wa Mila na Desturi zilizo nje na Utamaduni wa Mtanzania. Akitoa mada kwa Wakuu wa Wilaya Machi 17, 2023 jijini Dodoma, Waziri…
Read More »WAKULIMA WA UFUTA WATAKIWA KUFUATA USHAURI WA WATAALAMU
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Mratibu wa Program ya zao la Ufuta Kitaifa Joseph Nzunda amewataka wakulima kuutunza ufuta vizuri kwakufuta ushauri wa watalaamu ili kuondokana vijidudu visumbufu katika zao hilo. Akizugumza na wakulima katika Wilaya ya Mtwara amesema kuwa maeneo mengi ya kata hiyo na kata ufuta umeathiriwa na visumbufu…
Read More »KAMATI YA BUNGE YATOA KONGOLE UTEKELEZAJI PROGRAM YA KKK MERU
MUNIR SHEMWETA, WANMM MERU www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imepongeza Program ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) inayotekelezwa na Halmashauri ya Meru katika shamba la Valeska lililokuwa linamilikiwa na Chama cha Ushirika cha mkoa wa Arusha ( Arusha Cooperative Union Ltd-ACU) katika mkoa wa…
Read More »RUWASA MANYARA YAWASHAURI WANANCHI KUVUTA MAJI KWENYE NYUMBA ZAO
MWANDISHI WETU, MANYARA www.mtwarapressblog.co.tz Katika kuadhimisha wiki ya maji, iliyozinduliwa Machi 16, 2023 na waziri mkuu kasim majaliwa Jijini Dar es salaam, wakala wa usambazaji maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Manyara wamewahimiza wananchi kufikisha huduma ya maji kwenye nyumba zao na kuacha kutegemea vituo vya umma.…
Read More »WAZIRI MKUU AZINDUA WIKI YA MAJI, ASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala uhifadhi wa mazingira ni muhimu kwa nchi na akataka kila Mtanzania azingatie uhifadhi wa mazingira. Ametoa kauli hiyo Alhamisi, Machi 16, 2023 wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa sekta ya maji na mamia ya wananchi waliohudhuria uzinduzi…
Read More »NEMC YANG’ARA KIMATAIFA MAONESHO YA KILIMO NA MAZINGIRA QATAR
Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Baraza la Taifa la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Irene John akimkabidhi mfuko mbadala mmoja wa wageni waliotembelea banda la NEMC katika Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo na Mazingira nchini Qatar na kupewa elimu jinsi Tanzania ilivyofanikiwa kutokomeza matumizi…
Read More »RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Majengo ya (Union Buildings), Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia…
Read More »WATUMISHI SEKTA YA UJENZI, WANOLEWA MASUALA YA KIAFYA
Kaimu Katibu Mkuu-Sekta ya Ujenzi, Bi Saumu Mruke, akizungumza na baadhi ya watumishi wa Sekta hiyo (hawapo Pichani) wakati akifungua Semina ya mafunzo ya Masuala ya afya kwa Watumishi wa Sekta hiyo, Jijini Dodoma Machi 16, 2023. Baadhi ya Watumishi kutoka Sekta ya Ujenzi, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Sekta…
Read More »






