Habari
MBIUWASA YAJIVUNIA MIAKA MIWILI YA RAIS DKT. SAMIA
Tenki lenye uwezo wa kuchukua lita 500,000 za maji lililojengwa katika mradi wa maji Lusaka Mbinga mjini. Mkurugenzi Mtendaji wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbinga mjini(Mbiuwasa)Mhandisi Yonas Ndomba,akikagua moja ya vituo vya kuchotea maji vilivyojengwa katika mradi wa maji wa Lusaka katika Halmashauri ya mji Mbinga,kulia…
Read More »ZAIDI YA MAFUNDI 1800 KUKUTANISHWA PAMOJA IRINGA -MACHI 17
Mafundi smart wakiwa kazini MWANDISHI WETU, IRINGA www.mtwarapressblog.co.tz ZAIDI ya mafundi wa aina mbalimbali 1, 800 wanatarajia kukutana pamoja katika kongamano kubwa litakalo fanyika Mjini Iringa lengo kubwa likiwa kupanua wigo wa ajira na kuongeza fursa kwenye kundi hilo muhimu kwenye jamii. Meneja wa FundiSmart, Fabian Mwiga amesema…
Read More »WANAWAKE WADAU WA TANZANITE WASAIDIA YATIMA MIRERANI
MWANDISHI WETU, SIMANJIRO www.mtwarapressblog.co.tz WANAWAKE wanaofanya biashara ya madini ya magonga ya madini ya Tanzanite, wachekechaji na wadau wa madini hayo wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda miti, kugawa tuzo na kutoa msaada kwa watoto yatima. Makamu Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji madini wanawake (TAWOMA) Rachel Njau amesema wamefanya…
Read More »WAKULIMA WA NGANO WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MBOLEA
FERDINAND SHAYO, KILIMANJARO. www.mtwarapressblog.co.tz Zaidi ya Wakulima 300 wa ngano kutoka mikoa ya Kilimanjaro,Manyara na Arusha wamepatiwa mafunzo juu ya matumizi sahihi ya mbolea ya kuchanganya na mbegu aina ya YaraVita Seedlift inayotumika kustawisha mazao hasa katika kipindi cha ukame na kumuwezesha mkulima kuwa uhakika wa mavuno kwa asilimia 75%…
Read More »RC MTWARA ARIDHISHWA NA UBUNIFU WA WANAFUNZI
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbasi ameridhishwa na ubunifu mkubwa ulionyeshwa na wananafunzi wa Shule mbalimbali Msingi na Sekondari mkoani hapa. Mkuu wa mkoa amesema hayo machi 15, 2023 baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya Elimu kwa lengo la kukagua na kuona shughuli…
Read More »HALMASHAURI NUFAIKA NA FEDHA ZA CSR ZATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA
www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) imezitaka Halmashauri zote nchini zinazonufaika na fedha za uwajibikaji (CSR) kuwasilisha taarifa ya matumizi ya fedha hizo wakati wa kuwasilisha bajeti zao kwa Mwaka 2023/2024. Agizo hilo limetolewa Machi 15,2023 na Mwenyekiti wa Kamati…
Read More »WAHITIMU KIDATO CHA NNE RUKSA KUFANYA MABADILIKO YA TAHASUSI
ANGELA MSIMBIRA, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI imetoa muda wa wiki tatu kwa wahitimu wote wa kidato cha nne kwa mwaka 2022/23 kufanya mabadiliko au maboresho ya tahasusi walizokuwa wamechagua awali lengo likiwa kuwawezesha kufanya machaguo sahihi kulingana na ufaulu binafsi wa Mwanafunzi. Kauli hiyo imetolewa Machi 15,2023 jijini Dodoma na Naibu…
Read More »PROFESA MKENDA KUHITISHA JUMA LA ELIMU MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbas amesema kuwa kilele cha Juma la elimu la elimu mkoa wa Mtwara kinatarajiwa kufanyika Machi 15 na 16 Mkoani Mtwara ambapo kitahimizishwa na Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda. Akizungumza na waandhishi wa habari Mchi 14, 2023 ofosini…
Read More »SERIKALI, WFP, UNCDF KUWEZESHA ASILIMIA 80 YA WATANZANIA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza wakati wa kongamano la Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika jijini Dodoma ambalo lilihusisha wadau mbalimbali zikiwemo Taasisi za Serikali na Wadau wa Maendeleo ZUENA MSUYA, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Chakula Duniani (WFP), Mfuko wa…
Read More »TANZANIA KUSHIRIKIANA NA JUMUIYA YA MADOLA KUKABILI CHANGAMOTO ZA KIDUNIA
Balozi wa Uingereza hapa Nchini, Mhe. David Concar akiwasilisha salamu za Jumuiya ya Madola wakati wa maadhimisho ya siku ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo akiwasilisha hotuba yake katika maadhimisho ya siku ya Jumuiya…
Read More »









