Habari
SERIKALI ITENGE BAJETI YA KUTOSHA MAENDELEO YA JAMI
MWANDISHI WETU, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Fatma Tawfiq ameishauri Serikali kutenga bajeti ya kutosha katika kutekeleza majukumu ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Tawfiq ametoa ushauri huo wakati wa Kikao kazi cha Kamati hiyo…
Read More »WATANZANIA WATAKIWA KUTHAMINI UTAMADUNI WA JAMII ZAO
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amewaasa Watanzania kuheshimu, kuthamini na kujivunia utamaduni wa jamii zao. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema hayo jijini Dar es Salaam Tarehe 12 Machi 2023, wakati wa Tamasha la Holi Milan 2023 la kusherehekea miaka…
Read More »WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MAJUKUMU KWA KAMATI YA BUNGE
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Malisili na Utalii. Kulia ni Naibu Waziri Geofrey Pinda na kushoto ni Katibu Mkuu Anthony Sanga. MUNIR SHIMWETA, WANMM www.mtwarapressblog.co.tz Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha…
Read More »MAWAKALA WA BIASHARA YA USAFIRISHAJI WATU WAKAMATWA JIJINI TANGA
MWANDISHI WETU, TANGA www.mtwarapressblog.co.tz Jeshi la uhamiaji mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwanasa Mawakala wanne wanaojihusisha na biashara haramu ya usafirshaji wa binadam waliokuwa wamewahifadhi katika nyumba ya mmoja wao iliyoko Muheza mkoani Tanga . Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Machi 11, 2023 kamanda wa uhamiaji mkoa wa Tanga…
Read More »MABADILIKO MAKUBWA YANAHITAJIKA SEKTA YA ARDHI
HASSAN MABUYE, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amesema kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa utendaji wa Sekta ya Ardhi kwa watumishi walioko katika Halmashauri mbalimbali nchini. Pinda amesema kwa muda mfupi aliokaa Wizarani amegundua kuwa kuna changamoto hiyo kutokana…
Read More »WANAFUNZI WATEMBELEA MIRADI YA GESI MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Afisa Maendeleo ya Jamii wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania ( TPDC) ambaye pia ni Mratibu wa programu ya gasi mashuleni wa mikoa ya Lindi na Mtwara Oscar Mwakasege amesema wameanzisha klabu za gesi asilia mashuleni 17 kwa Mkoa wa Mtwara ili kuwajengea uelewa wanafunzi…
Read More »DKT. TULIA ACKSON AONGOZA KIKAO CHA KUNDI LA SADC
www.mtwarapressblog.co.tz Spika wa Bunge Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the IPU), Machi 10, 2023 ameongoza Kikao cha Kundi la SADC katika Umoja wa Mabunge Duniani (SADC Geopolitical Group in the IPU). Kikao hicho kimefanyika…
Read More »WAZIRI MKUU AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UCHUMI WA MWANAMKE
www.mtwarapressblog.co.tz Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanawake wote na Watanzania kwa ujumla waendelee kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na matumizi ya teknolojia katika kujenga uchumi wa kidijitali. Ametoa wito huo Tarehe 10 Machi 2023, wakati akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Tano wa Mwanamke Kiongozi kwa mwaka 2023 uliofanyika…
Read More »RC MTWARA APONGEZA UJENZI WA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO NEWALA
MWANDISHI WETU, NEWALA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbas amefurahishwa na juhudi za Chama Kikuu cha Ushirika TANECU kujenga kiwanda cha ubanguaji wa korosho Wilayani Newala, ambacho kinatarajia kukamilika mwezi April mwaka huu. Akizungumza wakati akitembelea kiwanda hicho Machi 10, 2023 Kanal Abbas amesema kinaenda kuwa mkombozi…
Read More »WAKULIMA WA KOROSHO WAPEWA MAFUNZO YA UNYEVU
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Wakulima wa zao la Korosho kata ya Njengwa, Halmashauri ya Mji Nanyamba, wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kuanika Korosho zao kabla ya kuzipeleka sokoni ili kuongeza ubora. Akizungumza Machi 10, 2023 katika mkutano wa kutoa elimu kwa wakulima wa kata hiyo juu ya masuala ya ushirika…
Read More »







