Habari
BARUA ZA WATUMISHI KUJIBIWA KWA WAKATI
MWANDISHI WETU, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya Rais,…
Read More »ASKARI WA KIKE MANYARA WAWASAIDIA WAJANE
MWANDISHI WETU, BABATI www.mtwarapressblog.co.tz ASKARI wanawake wa vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Manyara, wamewapatia msaada wa kibinadamu familia mbili za wajane zinazoishi maisha duni za Wilaya za Babati na Hanang’ ili kuwapunguzia ugumu wa maisha. Askari wanawake hao wa vyombo vya ulinzi na usalama kupitia mtandao wa polisi wanawake…
Read More »WAZIRI MABULA ASITISHA UTOAJI VIBALI VYA UKARABATI MAJENGO CHAKAVU MWANZA
Washiriki wa kikao kazi cha utekelezaji wa programu ya urasimishaji makazi na shughuli nyingine za sekta ya ardhi kilichofanyika jijini Mwanza tarehe 9 Machi 2023. MUNIR SHEMWETA,WANMM MWANZA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesitisha utoaji vibali vya ukarabati kwa majengo chakavu ya chini mkoani…
Read More »BALTON TANZANIA WAZINDUA MBEGU BORA ZINAZOKABILIANA NA UKAME
ANDREA NGOBOLE, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Kampuni ya usambazaji wa mbegu ya Balton Tanzania,imezindua mbegu mpya ambazo zinaweza kukabiliana na Ukame nchi ili kuongeza uzalishaji wa mazao mbali mbali na hivyo kuuza mazao nje ya nchi. Akizungumza katika uzinduzi wa mbegu hizo na mafunzo ya Shamba darasa kwa wakulima tarehe 8 Machi…
Read More »WANAWAKE MANYARA WATAKIWA KUTOA TAARIFA ZA UNYANYASAJI WANAOFANYIWA
MWANDISHI WETU, BABATI www.mtwarapressblog.co.tz Wanawake nchini wametakiwa kuvunja ukimya juu ya ukatili wanaofanyiwa na badala yake watoe taarifa polisi ili hatua zichukuliwe kwa wahusika kukomesha vitendo hivyo. Hayo yameelezwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani na Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara George Katabazi yaliyofanyika katika kijiji…
Read More »WAZIRI MKUU AHIMIZA KASI YA UPIMAJI ARDHI TANGA
HASSAN MBUYE, TANGA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka maafisa ardhi na maafisa mipango miji katika halmashauri zote nchini kuongeza kasi ya upimaji ardhi na kutoa hati kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ili kuepuka ujenzi wa makazi holela. Ametoa kauli hiyo Machi 7, 2023…
Read More »WANAWAKE NCHINI WATAKIWA KUJIAMINI
MUNIR SHEMWETA, WANMM KWIMBA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wanawake nchini kujiamini wakati wa kutekeleza majukumu yao. Dkt Mabula amesema hayo tarehe 8 Machi 2023 wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Kwadeko wilayani Kwimba mkoani…
Read More »KISHINDO CHA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA, MAGAZETI YA LEO JUMATANO MACHI 8, 2023
RUWASA YAPEWA WIKI TATU KUKAMILISHA MRADI WA MAJI LONGIDO
MWANDISHI WETU, LONGIDO www.mtwarapressclub.co.tz Naibu Waziri wa Madini,Dkt Stephen Kiruswa amemwagiza Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini {RUWASA} Wilaya ya Longido Mkoani Arusha kuhakikisha ndani ya wiki tatu maji yanapatikana katika kata ya Olmolok wilayani humo. Akiwa katika ziara ya kikazi Wilayani humo Tarehe 07 Machi 2023,…
Read More »SIKU HII YA WANAWAKE DUNIANI ILENGE USAWA WA KIJINSIA.
MWANDISHI WETU, KIBAHA www.mtwarapressblog.co.tz IMEELEZWA kuwa lengo la usawa wa Kijinsia ni kutokomeza Ukatili na Ubaguzi dhidi ya Wanawake na wasichana na kuhakikisha wanapata fursa sawa katika umiliki wa rasilimali . Hayo yameelezwa Machi 3, 2023 mjini Kibaha na Katibu Tawala Wilaya ya Kibaha Sozi Ngate kwa niaba ya Mkuu…
Read More »








