Habari
HALMASHAURI NCHINI ZIANDAE VIJIJI KUWA NA MIJI ENDELEVU
MUNIR SHEMWETA, WANMM GEITA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuviandaa vijiji kuwa miji endelevu ya baadaye na yenye tija kiuchumi na kijamii kwa vizazi vinavyo sambamba na kuhimiza upangaji wa vijiji na ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mwongozo wa upangaji na…
Read More »DKT MABULA ATAKA RIBA NAFUU MIKOPO YA NYUMBA
Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa wito kwa Benki na Taasisi za Fedha zinazotoa mikopo ya nyumba kutafuta mbinu za kuwezesha mikopo ya nyumba iwe na riba nafuu ili kuwawezesha wananchi hususan wenye kipato cha chini waweze kumudu mikopo hiyo. Dkt…
Read More »KIKWETE AKEMEA UDANGANYIFU UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI
Hassan Mabuye, Manyara Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amekemea udanganyifu katika kutatua migogoro ya ardhi na kutaka wananchi walio na migogoro kukaa chini na kutumia busara kabla ya kufika hatua za kisheria na Kiserikali. Kikwete ameyasema hayo Februari 19, 2023 katika kijiji cha Ngage…
Read More »DKT MABULA ATAKA MOTISHA OFISI ZINAZOFANYA VIZURI MAKUSANYO YA ARDHI
Munir Shemweta, WANMM MOROGORO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametaka kuandaliwa utaratibu utakaotoa motisha kwa ofisi za ardhi zitakazofanya vizuri katika ukusanyaji mapato yatokanayo na kodi ya pango la ardhi ili kuleta ushindani. Aidha, ametaka ofisi za ardhi katika mikoa na halmashauri nchini kuhakikisha zinatumia fursa ya…
Read More »POPO WA NIGERIA KIVUTIO KINGINE MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI
BRYSON MSHANA, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Makumbusho ya Taifa ya Majimaji ni eneo ambalo limehifadhiwa vizuri na serikali ili kuwawezesha watu kujifunza kumbukumbu nyingi ambazo ni kivutio adimu cha utalii wa kishujaa na kiutamaduni. Watu mbalimbali kutoka mkoa wa Ruvuma, ndani na nje ya nchi wanatembelea eneo hili maarufu katika historia ya…
Read More »DKT MABULA AITAKA BODI YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO KUWA WABUNIFU
Munir Shemweta, WANMM MOROGORO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka Bodi ya Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO) kuwa wabunifu wa vyanzo vya mapato na kuweka msukumo kuhakikisha chuo hicho kinafanikiwa katika kutekeleza majukumu yake kisheria. Aidha, ameitaka Bodi ya Chuo cha ARIMO kuhakikisha inapata…
Read More »WAZIRI DKT MABULA AKUTANA NA CEO WA ORECORLP -AUSTRALIA
Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ORECORP Limited Bw. Henk Diederichs. Mazungumzo baina ya Waziri Dkt Mabula na Mtendaji Mkuu huyo wa ORECORP Limited yamefanyika jijini Dar es Salaam tarehw 14 Februari…
Read More »WAKULIMA RUVUMA WAINGIZA BILIONI 644 MAUZO YA KAHAWA NA KOROSHO
www.mtwarapressblog.co.tz Wakulima mkoani Ruvuma wameingiza zaidi ya shilingi bilioni 644 baada kuuza mazao ya kahawa na korosho katika misimu mitano mfululizo. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema kati ya msimu 2017/2018 hadi kufikia msimu 2020/2021 jumla ya kilo 77,664,927.75 za kahawa zilikusanywa. Amesema kilo hizo ziliuzwa kwa…
Read More »MARUFUKU UBADILISHAJI MATUMIZI YA ARDHI USIO NA TIJA
Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amepiga marufuku ubadilishaji matumizi katika halmashauri nchini usio na tija. Dkt Mabula alipiga marufuku hiyo alipotembelea eneo lenye mgogoro lililokuwa shamba la NARCO Gezaulole kata ya Somangila Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam tarehe 14…
Read More »RUVUMA WAFURAHIA MBOLEA YA RUZUKU
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Baadhi ya wananchi Wilayani Songea mkoani Ruvuma wamemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wananchi wengi kununua na kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali. Malieta Komba Mkazi wa kijiji cha Mwanamonga Songea vijijini amesema mbolea ya ruzuku kuuzwa kati ya shilingi…
Read More »









