Habari
EKARI 2,390 ZA ARDHI KUPANGWA NA KUMILIKISHWA
HASSAN MABUYE, MANYARA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Manyara kuweka mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi na kuwapatia hati wakazi wa eneo la ekari 2,390 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Bonde la Kiru Wilaya ya…
Read More »OR – TAMISEMI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
OR – TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema changamoto za wananchi ndio kipaumbele cha Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kuzitafutia ufumbuzi na kuzishughulikia kwa wakati. Hayo yamejibainishwa mapema leo tarehe 11 Februari, 2023 Jijini Dodoma alipokutana na kuzungumza…
Read More »BILIONI 5.8 KUKARABATI BARABARA SAME
OR TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais -TAMISEMI, David Silinde amesema Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imetengwa kiasi cha Shilingi bilioni 5.8 sawa na asilimia 18.32 ya Bajeti ya Mkoa Kilimanjaro ya Shilingi bilioni 31.65 katika Mwaka 2022/23 kwa ajili ya ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara. Amesema hayo…
Read More »BILIONI 14 ZAJENGA SHULE NA VITUO VYA AFYA RUVUMA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 14 kujenga shule mpya za sekondari 11 na vituo vya afya 12 mkoani Ruvuma. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Mkoa umefanikiwa kujenga shule hizo mpya katika…
Read More »MKOA WA RUVUMA KULIMA ZAIDI YA HEKTA 900 ZA MAZAO
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKOA wa Ruvuma umelenga kulima jumla ya hekta 930,082 za mazao ya chakula,biashara na mazao ya bustani katika msimu wa kilimo wa mwaka 2022/2023. Akizungumza ofisini kwake Januari 26, 2023 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema hekta hizo zinatarajia kutoa mavuno ya tani…
Read More »ZAIDI YA HATI MILKI ZA ARDHI MILIONI MOJA KUTOLEWA KUPITIA MRADI WA LTIP
MUNIR SHIMWETA, WANMM www.mtwarapressblog.co.tz Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inatarajia kutoa Hati Milki za Ardhi milioni moja katika maeneo ya mijini pamoja na Hati Miliki za Kimila laki tano kwenye maeneo ya vijijini. Aidha, kwa yale maeneo…
Read More »MAKUMBUSHO YA TAIFA YA MAJIMAJI KUKUZA UTALII WA KIUTAMADUNI
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Utalii wa kiutamaduni hapa nchini bado haujapewa kipaumbele ukilinganisha na nchi nyingine kama Afrika ya kusini ambayo utalii huo umepiga hatua kubwa. Mkoa wa Ruvuma una utajiri mkubwa wa utalii wa utamaduni ukilinganisha utalii wa ikolojia,miongoni mwa vivutio vya utalii wa utamaduni ni Makumbusho ya Taifa…
Read More »WALENGWA ZAIDI YA ELFU SABA WALIVYONUFAIKA NA MPANGO WA TASAF KATIKA WILAYA YA MTWARA.
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Tangu mwaka 2014, Mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) umekuwa ukitekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara yenye jumla ya kaya za walengwa 7,595 zilizofikiwa katika kipindi cha takribani miaka nane iliyopita. Kati ya walengwa hao, wapo 5,194 kutoka katika vijiji 57 vya awali na walengwa…
Read More »WIKI MAALUM YA UPANDAJI MITI RUVUMA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua wiki maalum ya upandaji miti katika Mkoa wa Ruvuma ambapo jumla ya miti ya asili 3500 imepandwa. Uzinduzi wa zoezi hilo umefanyika mwanzoni mwa mwezi Jauari 2022 katika vyanzo viwili ambavyo ni chanzo cha Mto Luegu kilichopo…
Read More »RUVUMA KUPANDISHA HADHI HIFADHI KUWA MAPORI YA AKIBA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKOA wa Ruvuma umeridhia kupandisha hadi Hifadhi mbili za misitu kuwa mapori ya akiba (Game Reserve) kwa lengo la kuendeleza sekta ya maliasili na utalii. Afisa Maliasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Africanus Challe ameyataja mapori hayo kuwa ni Gesimasowa lililopo Madaba lenye ukubwa…
Read More »









