Habari
SERIKALI YATOA BILIONI 60 UJENZI BARABARA SONGEA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 60 kuanza ujenzi barabara ya lami kilometa 60 kutoka Likuyufusi Kwenda Mkenda Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma. Barabara hiyo ni ya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji yenye urefu wa kilometa 124…
Read More »RC RUVUMA AAGIZA WAZAZI WASIOPELEKA WATOTO SHULE KUCHUKULIWA HATUA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaagiza wakuu wa Wilaya,wakurugenzi na viongozi ngazi ya kata na vijiji kuwakamata wazazi wote ambao hadi Jumatatu ijayo watakuwa hawajawapeleka watoto wao shule. Ametoa agizo hilo Januari 12, 2023 baada ya kukagua na kubaini mahudhurio hafifu ya wanafunzi…
Read More »SERIKALI KUMEGA HEKTA 33,132.24 ZA HIFADHI KUWAPATIA WANANCHI RUVUMA
Munir Shemweta, WANMM RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali itamega jumla ya hekta 33,132.24 katika mkoa wa Ruvuma kutoka maeneo ya hifadhi na shamba la NAFCO na kubakizwa kwa wananchi kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Aidha, imeelekeza wananchi wote waliovamia Hifadhi ya Msitu wa Lihanje uliopo halmashauri ya wilayani Songea kusitisha shughuli zozote…
Read More »MKOA WA RUVUMA WACHANGIA ASILIMIA 3.8 YA PATO LA TAIFA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz UCHUMI wa Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuimarika kwa kuchangia asilimia 3.8 ya pato la Taifa ukiwa juu ya mikoa mingine ya Kanda ya Kusini Mashariki. Kwa mujibu wa Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu,uchumi wa Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuimarika ambapo Pato la Taifa (GDP)…
Read More »WAZIRI MABULA ASHEREHEKEA KRISIMASI NA WAGONJWA
Hassan Mabuye, Dodoma www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amesherekea siku kuu ya Krisimasi na wagonjwa kwa kula nao chakula pamoja na kukabidhi zawadi za Krisimasi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Waziri Mabula amekabidhi zawadi hizo disemba 26,2022 kwa wagonjwa katika…
Read More »KISWAHILI KUPAMBA UTALII WA LUGHA
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro Tanzania imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa inaendelea kuitangaza lugha ya Kiswahili katika maeneo mbalimbali Duniani kupitia utalii. Kwa mujibu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, lengo la zoezi hilo lililofanyika tarehe 9 Decembe 2022, ni kuhakikisha kuwa lugha ya Kiswahili inawafikia wageni mbalimbali. Kufuatia…
Read More »SERIKALI YATOA MIKOPO KWA WATU WENYE ULEMAVU MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Manispaa ya Mtwara – Mikindani mkoani mtwara, imetoa kiasi cha fedha shilingi Milioni 27.21 kwa watu Saba wenye ulemavu wa aina mbalimbalimbali ili kuwawezesha katika kufanya shughuli za maendeleo. Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya, amekaeeleza kuwa mkopoa huo alioukabidhi desemba 09, 2022 ni sehemu…
Read More »UTENGENEZAJI WA VISHIKWAMBI KUANZA NCHINI
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haina sababu ya kuagiza Vishikwambi kutoka nje ya nchi itaunga mkono jitihada za kampuni yoyote yenye nia ya kuanzisha kiwanda cha utengenezaji wa vishikwambi nchini. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda amesema hayo dESEMBA 9,…
Read More »UPENDO REHABILITATION ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU 2022
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Disemba 3 ya kila mwaka ni siku ambayo ulimwengu huadhimisha siku ya watu wenye ulemavu Hapa nchini Tanzania maadhimisho hayo yalifanyika kitaifa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha Disemba 3,2022 na kuhudhuriwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye…
Read More »WATAHINIWA 2,194 WAFUTIWA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022. NECTA pia imetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa 1,350,881 waliofanya mtihani ambao wamebainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo wa kumaliza elimu ya msingi mwaka…
Read More »









