Habari
WATOTO WEYE ULEMAVU KUPEWA KIPAOMBELE CHAJO YA POLIO.
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Wazazi na walezi wanaoishi na watoto wenye ulemavu Mkoani Mtwara, wamtakiwa kutowaficha ili kuhakikisha kuwa zoezi la chanjo ya polio awamu ya mwisho linawafikia popote walipo. Wito huo umetolewa na Mganga mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dr.Mohamed Nyembea Disemba 01, 2022 wakati akizungumzia kuanza kwa zoezi…
Read More »WIKI YA UBUNIFU ILIVYOWAIBUA WABUNIFU MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Wiki ya ubunifu Tanzania mwaka huu ilizinduliwa jijini Dar es Salaam Mei 10, 2022 huku wabunifu wakielezea kufurahishwa na taasisi zilizojitokeza kuwashika mkono katika harakati za kuonesha ubunifu wao ili ulete tija katika jamii zao. Wiki hii huandaliwa kila mwaka na kuwapa nafasi wabunifu kuonekana, kupata…
Read More »IBO ITALIA MKOMBOZI WA WATOTO WENYE ULEMAVU IRINGA
BRYSON MSHANA, IRINGA www.mtwarapressblog.co.tz November 10, 2021 Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto UNICEF lilitoa ripoti iliyozinduliwa Jijini New York Marekani iliyozungumzia idadi ya watoto wenye ulemavu Duniani kufikia takriban milioni 240. Ripoti ilisema kuwa watoto wenye ulemavu wanakosa fursa ikilinganishwa na watoto wasio na ulemavu katika hatua nyingi…
Read More »IMARISHENI USIMAMIZI MFUMO WA GoT-HoMIS
OR -TAMISEMI Uongozi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imetakiwa kuimarisha usimamizi katika mfumo wa ukusanyaji mapato GoT-HoMIS ili kudhibiti upotevu wa fedha na kuboresha utoaji wa huduma za Afya katika hospitali hiyo. Wito huo umetolewa na timu ya usimamizi shirikishi kutoka Idara ya Afya Ofisi ya Rais…
Read More »WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUSIMAMIA UFUNGAJI HOJA ZA UKAGUZI ZA HALMASHAURI ZAO
ANGELA MSIMBIRA – SIMIYU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa Angellah Kairuki amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanazisimamia halmashauri zote kufunga hoja za ukaguzi wa hesabu za serikali. Ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2022 alipokuwa akizungumza na viongozi…
Read More »




