Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023. Rais wa Rwanda Mhe. Kagame amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya Kikazi ya Siku 2.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Rwanda  Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023. Rais wa Rwanda Kagame amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya Kikazi ya Siku 2.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Rais wa Rwanda Paul Kagame aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Check Also

WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE

MOSHI-KILIMANJARO Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi Mkoani…