Uncategorized
BILIONI 60 KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPITIWA MRADI WA RUHUDJI NA RUMAKALl
MWANDISHI WETU, NJOMBE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali, ili wananchi hao wapishe maeneo hayo na waweze kuendelea na shughuli zao za kila siku wakati miradi hiyo ikisubiri kutekelezwa.…
Read More »DKT. BITEKO AKUTANA NA MENEJINENTI YA NMB
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 24 Novemba, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine Dkt. Biteko ameipongeza benki hiyo kwa kuwa wabunifu kwenye utoaji…
Read More »DKT. BITEKO AMUONDOA MENEJA MAWASILIANO TPDC BAADA YA MALALAMIKO YA WANANCHI MSIMBATI
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kutokana na kushindwa kutoa taarifa mbalimbali na kutofanya mikutano na wananchi wanaozunguka miradi ya Gesi Asilia ikiwemo dharura zinazotokea katika Mkuza wa Bomba…
Read More »DC MTWARA AWASISITIZA WAKULIMA KUZINGATIA UBORA WA KOROSHO.
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewasisitiza wakulima wa Korosho kujitahidi kuzingatia ushauri unaotolwa na wataalam kuhusu namna ya kutunza Koroshi ili zibakie kwenye ubora na kuendelea kuvutia wanunuazi. Mkuu huyo wa Wilaya amesema hayo Novemba 10, 2023 wakati akizungumza na wakulima wa zao la…
Read More »WAANDISHI WA HABARI MTWARA WAPEWA MAFUNZO YA USALAMA WA KIDIJITALI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Waandishi wa habari 25 wanaowakilisha vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Mtwara, wameshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo usalama wa kijitali yaliyoendeshwa na Taasisi ya JamiiForums ya Jijini Dar es salaam ikishirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika…
Read More »DK.ABBAS AZUNGUMZA NA WATENDAJI TFS
MWANDIDHI WETU mtwarapressclub@gmail.com Katibu MKuu Wizara ya Maliasili na utaliii, Dk.Hassan Abbas amewataka wahifadhi wasiokuwa tayari kutekeleza misingi ya pamoja waliyojiwekea katika kuhakikisha misitu inahifadhiwa nchini kutafuta mahala pengine pa kazi. Akizungumza leo Aprili 8, 2023 wakati alipokutana na menejimenti ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS kujadili,…
Read More »WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA BARAZA NA KUZINDUA MFUMO WA TSCMIS
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pili wa baraza la Wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kwa mwaka 2022/23 na Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). Uzinduzi huo umefanyika…
Read More »TFRA KANDA YA KASKAZINI WAPONGEZWA KWA UTENDAJI MZURI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Dialo akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na watumishi wa TFRA Kanda ya Kaskazini katika ziara ya siku mbili kwenye kanda hiyo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TFRA, Anthony Dialo (kulia) akimsikiliza Kaimu Meneja wa TFRA…
Read More »





