
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Paulina Mkwama akizungumza wakati wa ufunguzi huo wa Baraza.
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). pamoja na viongozi wengine wa Tume ya Utumishi wa Walimu wakifurahia uzinduzi huo wa mfumo uliofanyika Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi tuzo maalum kwa waliofanikisha uundwaji wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS) ambapo moja ilienda kwa Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Paulina Mkwama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi tuzo maalum kwa waliofanikisha uundwaji wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi vyeti kwa wataalam wa TEHAMA waliofanikisha uundwaji wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi zawadi kwa watumishi wa staafu wa TSC.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akiwa na watendaji wa Tume ya Utumishi wa walimu katika picha za kumbukumbu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akiwa na watendaji wa Tume ya Utumishi wa walimu katika picha za kumbukumbu.
WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE
MOSHI-KILIMANJARO Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi Mkoani…





