Siasa
RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU CCM
BRYSON MSHANA mtwarapressclub@gmail.com Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01April 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam. Katika kikao hicho, Kamati Kuu imezipongeza Serikali zote…
Read More »OLE MILLYA AJITOSA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC MKOA WA ARUSHA
ANDREA NGOBOLE, ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com Harakati za kugombea ujumbe wa halmashauri kuu wa chama cha mapinduzi mkoa wa Arusha zimeanza kwa Vigogo wa chama hicho kujitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo nyeti kwa chama tawala nchini Tanzania. Fomu hizo zimeanza kuchukuliwa Machi 23 na wanachama wa chama hicho ambapo mwanachama…
Read More »WAELEZENI MAZURI YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahman Kinana Akipokea tuzo ya pongezi kwa Kuchaguliwa kuendelea kuwa Makamu Mwenyekiti wa (CCM) Tanzania Bara kwa Mwenyekiti Ndg Marry Chatanda (Kushoto). MWANDISHI WETU, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa CCM wayaeleze kwa wananchi…
Read More »CCM ARUSHWA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
MWANDISHI WETU, MERU www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha yaridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapindizi (CCM) katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru ambapo mbali na fedha za zinatolewa na Serikali kuu, Halmashauri hiyo kupitia mapato yake ya ndani kwa mwaka wa fedha2022\/2023 unaoendelea imetoa…
Read More »



